Hata Mimi nipo hapa kushangaa maajabu ya nchi ya kidepromasia🤔🤔😱😱🇱🇷.Wakuu, kwa miaka mingi tuliambiwa maamuzi yoyote pale USA ni ya taasisi na si mtu mmoja.
. Kwamba katiba yao ndio inaamua,
Kwamba hata akija Rais kichaa anaongoza maana yeye si mtoa maamuzi pekeake.
Lakini hiki tunachoshuhudia sasa hivi mbona ni kama Afrika tu?
Yani Trump sasa hivi anaweza kuamka tu na kutoa tamko kwamba toa hiki weka pale, kile leta hapa.
Mfano mzuri ni ishu misaada kwa Afrika, na hili la kujitoa WHO na sasa eti anapanga kujitoa UN.
Mbona mimi naona kama US mfumo wao wa uongozi ni mbovu kuliko Afrika?
Maamuzi anayofanya Trump YAPO ndani ya mamlaka yake kama Rais, mimi na wewe pamoja na wamarekani Gen Z tunaona ajabu kwasababu ni kwa muda mrefu rais hajawahi kutumia mamlaka yake namna hiiYani Trump sasa hivi anaweza kuamka tu na kutoa tamko kwamba toa hiki weka pale, kile leta hapa.
Mfano mzuri ni ishu misaada kwa Afrika, na hili la kujitoa WHO na sasa eti anapanga kujitoa UN.
Maamuzi anayotoa Trump YAPO kikatiba , hajafanya kitu chochote nje ya katibaYani USA sasa haina tofauti na nchi za kiafrika maamuzi yanatolewa na mtu mmoja tu
Kumbe kuna mizizi iliyojichimbia chini zaidi amini amini nakwambieni. Executive orders nadhani ndizo zinawakimbiza zimepata mtu wa kuzitumia.Wakuu, kwa miaka mingi tuliambiwa maamuzi yoyote pale USA ni ya taasisi na si mtu mmoja.
. Kwamba katiba yao ndio inaamua,
Kwamba hata akija Rais kichaa anaongoza maana yeye si mtoa maamuzi pekeake.
Lakini hiki tunachoshuhudia sasa hivi mbona ni kama Afrika tu?
Yani Trump sasa hivi anaweza kuamka tu na kutoa tamko kwamba toa hiki weka pale, kile leta hapa.
Mfano mzuri ni ishu misaada kwa Afrika, na hili la kujitoa WHO na sasa eti anapanga kujitoa UN.
Mbona mimi naona kama US mfumo wao wa uongozi ni mbovu kuliko Afrika?
Safi sana uzi ufungweMaamuzi
Maamuzi anayotoa Trump YAPO kikatiba , hajafanya kitu chochote nje ya katiba
Basi mfumo wao wa uongozi ni mbovu sana!Maamuzi anayofanya Trump YAPO ndani ya mamlaka yake kama Rais, mimi na wewe pamoja na wamarekani Gen Z tunaona ajabu kwasababu ni kwa muda mrefu rais hajawahi kutumia mamlaka yake namna hii
yap anaweza.Basi mfumo wao wa uongozi ni mbovu sana!
Kwahiyo pale alipo anaweza hata kuamuru kubonyezwa kitufe cha nyukilia kulipua nchi flani bila kuingiliwa na yeyote.
HIOO TRELLA BADO PICHA AIJAANZAWakuu, kwa miaka mingi tuliambiwa maamuzi yoyote pale USA ni ya taasisi na si mtu mmoja.
. Kwamba katiba yao ndio inaamua,
Kwamba hata akija Rais kichaa anaongoza maana yeye si mtoa maamuzi pekeake.
Lakini hiki tunachoshuhudia sasa hivi mbona ni kama Afrika tu?
Yani Trump sasa hivi anaweza kuamka tu na kutoa tamko kwamba toa hiki weka pale, kile leta hapa.
Mfano mzuri ni ishu misaada kwa Afrika, na hili la kujitoa WHO na sasa eti anapanga kujitoa UN.
Mbona mimi naona kama US mfumo wao wa uongozi ni mbovu kuliko Afrika?
Trump sasa hivi anaangalia maslahi ya America kwanza yaani akikusaidia wenyewe wanafaidika nini?Wakuu, kwa miaka mingi tuliambiwa maamuzi yoyote pale USA ni ya taasisi na si mtu mmoja.
. Kwamba katiba yao ndio inaamua,
Kwamba hata akija Rais kichaa anaongoza maana yeye si mtoa maamuzi pekeake.
Lakini hiki tunachoshuhudia sasa hivi mbona ni kama Afrika tu?
Yani Trump sasa hivi anaweza kuamka tu na kutoa tamko kwamba toa hiki weka pale, kile leta hapa.
Mfano mzuri ni ishu misaada kwa Afrika, na hili la kujitoa WHO na sasa eti anapanga kujitoa UN.
Mbona mimi naona kama US mfumo wao wa uongozi ni mbovu kuliko Afrika?
Na bado DJ hajaweka lile dude la Ice Cube "No Vaseline"... wataingiliwa bila mafuta ya Piddy waongeze miguno...Ndombwindo njoo uwaone vidole juu wanavo waya waya huku, hawana pa kushika.