Tulikuwa tunakula mpakani mwa usiku na mchana

Kipindi hicho uritakiwa uwe unaenda kura kwa kina Dura?
 
Hahahha mkuu mbona nilikuwa humu kabla ya Pembe za Panzi pia licha ya ile ban ya maisha.
Nawapongeza Moderators kwa kuziunganisha hizi ID hata kama aliwaambia.

Nilikuwa sijamjua, huyu jamaa ni muda mrefu humu JF ila alitoweka kwa muda mrefu.

Alipokuja ndio akaanza hizi comedy kwa ID mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…