Tulikuwa tunakula mpakani mwa usiku na mchana

Ndugu yangu..
Kwanza pole.. pooole haswa..

Nguvu imetumika Sana.

Pili jifue kuandika Kiswahili sanifu. Hivi ulivyofanya kama si makusudi, basi umeandika kindegelepwijo si Kiswahili.

Na kama umefanya kusudi, umetunza kumbukumbu ya hali yako ya kutokuwa na akili timamu kwa vizazi vijavyo.

Ukishika kalamu na karatasi, mahala popote pale, wakati wowote ule.. hakikisha kinachoandikwa kimefanyika vizuri. Hujui ni nani atakisoma na lini. Linda utu wako.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa alikuwa anatupa burudani tu.
 
Jamaa alikuwa anatupa burudani tu.
Kuna mtu mmoja(jamaa) kuchekesha wenzake mtaani alikuwa anavaa gauni anafanya masihara ya kike.. watu wancheeeka. Hatari.

Siku ukapita msafara wa wanafunzi wa miji ya mbali huko, ukamnasa akiwa kwenye masihara yake.. na washkaji wake.. Msafara haukusimama ila uliona .. so hawakupata context.

Fast forward amefaulu kaenda mji huo wa wanafunzi wa msafara.. and instantly he was famously known to be gay. Despite the fact he was not.

Kila unachofanya kijilinde na kujisimamia chenyewe (independently).. maana that's how your history will be written independently..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Aisee[emoji23]
 
Aisee[emoji23]
[emoji16]
We unadhani akina Leonardo daVinch, kina Galileo , Mwl. Nyerere hawakuwa na masihara!?

To tell you the truth wazee Hawa unaowaona wa maana na positions zao.. wana masikhara hakuna.. sema wao masikhara yao hayawi recorded.. so hupita na wakati.. wanachorecord ni yale Muhimu tu na kwa namna Sahihi.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]basi mkuu yaishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…