Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
- Thread starter
- #81
Kuna watu huwa wananichokoza nikisema wananiitia polisi nakamatwa.Badilika bana haiwezekani kila ID iwe inatwangwa rungu.
Kwa sasa nitakuwa mpole.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu huwa wananichokoza nikisema wananiitia polisi nakamatwa.Badilika bana haiwezekani kila ID iwe inatwangwa rungu.
Itakuwa vizuri ukimpelyekeya maziwa na najuha atafurai sahana!Nikimuhona di rosi nitamupelekeya maziwa ya ngombe wa bibi?
Thawa buana mupwa ya mujomba wa itariaKuna watu huwa wananichokoza nikisema wananiitia polisi nakamatwa.
Kwa sasa nitakuwa mpole.
[emoji3][emoji3][emoji3]Mujomba wagu wa itaria arimwambiya bibi kua akija anaenda na mdongo wagu mimi sijuyi kama nitaeda,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah we jamaa umeshindikana. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mujomba hutahenda rini kumsarimiha uko itaria?
Ndugu yangu..Kuanza naomba kihongozi wa umu hasiwe anafunta abali zagu umu mahana siyo kira mutu anatafuatiliya umu sihasa au mambo ya mana. wengine wako umu kubuludinsha akiri zao sasa musiwe munafunta abali zagu umu? Jana niriweka abali ya yagu ya mndama wa bibi na mupenzi wagu subila mukafunta iyo abali naombwa musifunte abali zagu?
Kabula mujomba wagu wa itaria ajaenda itaria turikuwa tunakura mupakani mwa usiku na muchana yani uwezi kujuwa ni jiyoni au ni usiku.turikuwa tunakura hivo iri tubane unga husihishe hivo bibi wagu arikuwa hanapika mupakani mwa usiku na muchana iri tukimaliza kura turare na halikuwa anasema hukimaliza kura husicheze mahana chakura kitahisha haraka tumbon hivo ukimariza kura unarara hili usipoteze chakura. Bahada ya mujomba kuwenda itaria ratimba ya kura iribadilika na tukawanza kura chayi.chakura cha muchana na chakura cha usiku. Tukikumbukwa mahisha yare uwa tunalia sana. Husikate tama kama unapitiya mahisha magumu?
Hasante sana.?
Jamaa alikuwa anatupa burudani tu.Ndugu yangu..
Kwanza pole.. pooole haswa..
Nguvu imetumika Sana.
Pili jifue kuandika Kiswahili sanifu. Hivi ulivyofanya kama si makusudi, basi umeandika kindegelepwijo si Kiswahili.
Na kama umefanya kusudi, umetunza kumbukumbu ya hali yako ya kutokuwa na akili timamu kwa vizazi vijavyo.
Ukishika kalamu na karatasi, mahala popote pale, wakati wowote ule.. hakikisha kinachoandikwa kimefanyika vizuri. Hujui ni nani atakisoma na lini. Linda utu wako.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kuna mtu mmoja(jamaa) kuchekesha wenzake mtaani alikuwa anavaa gauni anafanya masihara ya kike.. watu wancheeeka. Hatari.Jamaa alikuwa anatupa burudani tu.
Aisee[emoji23]Kuna mtu mmoja(jamaa) kuchekesha wenzake mtaani alikuwa anavaa gauni anafanya masihara ya kike.. watu wancheeeka. Hatari.
Siku ukapita msafara wa wanafunzi wa miji ya mbali huko, ukamnasa akiwa kwenye masihara yake.. na washkaji wake.. Msafara haukusimama ila uliona .. so hawakupata context.
Fast forward amefaulu kaenda mji huo wa wanafunzi wa msafara.. and instantly he was famously known to be gay. Despite the fact he was not.
Kila unachofanya kijilinde na kujisimamia chenyewe (independently).. maana that's how your history will be written independently..
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[emoji16]Aisee[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]basi mkuu yaishe[emoji16]
We unadhani akina Leonardo daVinch, kina Galileo , Mwl. Nyerere hawakuwa na masihara!?
To tell you the truth wazee Hawa unaowaona wa maana na positions zao.. wana masikhara hakuna.. sema wao masikhara yao hayawi recorded.. so hupita na wakati.. wanachorecord ni yale Muhimu tu na kwa namna Sahihi.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app