Tulikuwa watoto ila najua alinipenda

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2008
Posts
3,173
Reaction score
482
Hatukuwa watoto kihivyo ingawa tulistahili kuwa watoto. Niko f2 mwenyewe yuko F1. Wakaja shuleni kwetu kwenye zile inter school social. Jamaa tulikuwa mabreak dancers acha utani! Basi katika lile kundi la wale mabinti akatikea mmoja kuvutiwa na kijana mmoja EM. Haikuchukua mda jitihada zikawa zimewafanya wawe pamoja kwa miaka takribani 2 na nusu. Kwa kusema ukweli binti huyu alinipenda! Mtoto wa kinyamwezi kapanda juu hivi! weusi ule wa kuzaliwa mrembo si haba. Yaani alikamilika. Akitoka kwao anapitia pale Moshi mjini anaacha pocket money kwa kijana anachukua nauli anaishia shule. Weekend anakuja kidume napanga budget.
Natamani sana nimwone leo sijui yuko wapi. Natamani nimwone leo sio kurudia yale tuliyokuwa tunafanya! La hasha!
Nataka nimwombe radhi ka ajili ya siku ile niliyomwambia bila haya eti SIKUTAKI! Kweli alihangaika kucha kunitafuta! Hakuniona usiku huo na wala haikutokea kukutana tena. Bado namwona natamani nimwone tena. Sijui yukoje saa hii.
Anna weeeeeeeeee wapi mdada!
 
Duhhhh nini kulikoni ..
Si ulimwambia humtaki ..
 
So rude " Sikutaki"
She must have her own life now and hope she had a time to forget the rudeness of your voice
Pole sana
 
real but not so rude like the guy here to her "Sikutaki"
he had a chance to tell her politely not so rude

Huku kwetu huwa haturembi sana mkuu
Hata salamu ni short and clear! Kida Kido
 
Sasa nimezeeka najua nilimkose si ndo najirekebisha!
Kumwomba uliyemkosea ni uungwana ama sio Afro!

Ni sawa kumuomba radhi ..
Lakini mambo mengine ni kupoteza tu muda
kufikiria ..
 
Natamani sana nimwone leo sijui yuko wapi. Natamani nimwone leo sio kurudia yale tuliyokuwa tunafanya! La hasha!
Nataka nimwombe radhi ka ajili ya siku ile niliyomwambia bila haya eti SIKUTAKI!

Ama kweli zimwi likujualo halikuli likakwisha
 
Ni sawa kumuomba radhi ..
Lakini mambo mengine ni kupoteza tu muda
kufikiria ..

There is always FLASH BACK! Kila mtu anazo Afro
Najua sio rahisi kumwona saa hizi. Its just my wish!
 
You sound like a hero too late.

Move on and let go. Waweza pata uchizi. TAFAKARI !!!!!!!!!!!:shock:
 
Mhhh haya bana
Hata kama ni soo rude aise kwa mwanamke

Mkuu ile mistari tulikuja kuikuta baadae!
Oooooooooo nikila sishibi..........
Nikinywa maji nakuona kwenye glasi
Usiku silali nakuota wewe........(unaotaje cjui)
Halafu unamalizia na kupulizia YOLANDA
Dah sisi spade is a spade mkuu
 
You sound like a hero too late.

Move on and let go. Waweza pata uchizi. TAFAKARI !!!!!!!!!!!:shock:

Hero?!!!
I don think he is a hero in anything
His attitude was so rude and he left the girl in time she needs him most and now he returns back to look for sympathy
Au anatafuta kukumbushia mambo yake ya utoto
 
Mkuu ile mistari tulikuja kuikuta baadae!
Oooooooooo nikila sishibi..........
Nikinywa maji nakuona kwenye glasi
Usiku silali nakuota wewe........(unaotaje cjui)
Halafu unamalizia na kupulizia YOLANDA
Dah sisi spade is a spade mkuu


Sound so aged
Mhh hahahaha mistari ilitumika sana kumpata mtu umpendae hata kama nusu yake was a lie
Ila was so easy to have a lady by expressing yourself in that way
 
Hero?!!!
I don think he is a hero in anything
His attitude was so rude and he left the girl in time she needs him most and now he returns back to look for sympathy
Au anatafuta kukumbushia mambo yake ya utoto

Hero unalichukuliaje hilo neno
Afu jina lako la mwisho na wasiwasi nalo!
 
Mkuu hiyo imetoka ikirudi pancha wanasema

Hebu fikiri unasafiri kwenda pemba halafu ubungo ufuate nini??
 
Hero unalichukuliaje hilo neno
Afu jina lako la mwisho na wasiwasi nalo!

I know ulikuwa hero kwa mambo fulani fulani ila ulishindwa kumaintain uhusiano aise
May be now angekuwa mama watoto wako


Jina tena limefanyaje mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…