Tulikuwa watoto ila najua alinipenda

Tulikuwa watoto ila najua alinipenda

I know ulikuwa hero kwa mambo fulani fulani ila ulishindwa kumaintain uhusiano aise
May be now angekuwa mama watoto wako


Jina tena limefanyaje mkuu
Unakuwa na aina fulani ya mijitoto hiyo. Baba wa bluu mama mweusi yaani we acha tu ndo hivyo tena.
Kawaida mkuu angalia kwenye PM
 
Unakuwa na aina fulani ya mijitoto hiyo. Baba wa bluu mama mweusi yaani we acha tu ndo hivyo tena.
Kawaida mkuu angalia kwenye PM

Ila wapenzi wa ujanani sometime penzi lao linadumu mkuu na kujikuta mnakuwa pamoja
So sio mbaya kwa wale ambao waliweza kuyaendeleza na sasa hivi wako pamoja kama familia
 
Ulifanya vizuri kumwambia ukweli kwamba humtaki............. usitegemee kumwona tena huyo labda kwa kugongana barabarani
 
Zamani ulikuwa hauwi breka dansa tu
Lazima uwe na breka moyo pia

Hii package ilikuwa well designed by manufacturer.
 
Ila wapenzi wa ujanani sometime penzi lao linadumu mkuu na kujikuta mnakuwa pamoja
So sio mbaya kwa wale ambao waliweza kuyaendeleza na sasa hivi wako pamoja kama familia

Naye Nyerere alikuwa anatupeleka mbali sana. Yaani unatoka Old Moshi unapelekwa Songea Boys dah!
 
Zamani ulikuwa hauwi breka dansa tu
Lazima uwe na breka moyo pia

Hii package ilikuwa well designed by manufacturer.

Ha ha ha mkuu ina maana ilikuwa ni ka formula fulani sio!
 
Niko hapa Anna, its too late kama ambavyo ulinikataa na mimi nakutamkia leo SIKUTAKI, niko na anaejua thamani ya Anna

Hatukuwa watoto kihivyo ingawa tulistahili kuwa watoto. Niko f2 mwenyewe yuko F1. Wakaja shuleni kwetu kwenye zile inter school social. Jamaa tulikuwa mabreak dancers acha utani! Basi katika lile kundi la wale mabinti akatikea mmoja kuvutiwa na kijana mmoja EM. Haikuchukua mda jitihada zikawa zimewafanya wawe pamoja kwa miaka takribani 2 na nusu. Kwa kusema ukweli binti huyu alinipenda! Mtoto wa kinyamwezi kapanda juu hivi! weusi ule wa kuzaliwa mrembo si haba. Yaani alikamilika. Akitoka kwao anapitia pale Moshi mjini anaacha pocket money kwa kijana anachukua nauli anaishia shule. Weekend anakuja kidume napanga budget.
Natamani sana nimwone leo sijui yuko wapi. Natamani nimwone leo sio kurudia yale tuliyokuwa tunafanya! La hasha!
Nataka nimwombe radhi ka ajili ya siku ile niliyomwambia bila haya eti SIKUTAKI! Kweli alihangaika kucha kunitafuta! Hakuniona usiku huo na wala haikutokea kukutana tena. Bado namwona natamani nimwone tena. Sijui yukoje saa hii.
Anna weeeeeeeeee wapi mdada!
 
Back
Top Bottom