Tulikuwa watoto ila najua alinipenda

I know ulikuwa hero kwa mambo fulani fulani ila ulishindwa kumaintain uhusiano aise
May be now angekuwa mama watoto wako

Jina tena limefanyaje mkuu
Unakuwa na aina fulani ya mijitoto hiyo. Baba wa bluu mama mweusi yaani we acha tu ndo hivyo tena.
Kawaida mkuu angalia kwenye PM
 
Unakuwa na aina fulani ya mijitoto hiyo. Baba wa bluu mama mweusi yaani we acha tu ndo hivyo tena.
Kawaida mkuu angalia kwenye PM

Ila wapenzi wa ujanani sometime penzi lao linadumu mkuu na kujikuta mnakuwa pamoja
So sio mbaya kwa wale ambao waliweza kuyaendeleza na sasa hivi wako pamoja kama familia
 
Ulifanya vizuri kumwambia ukweli kwamba humtaki............. usitegemee kumwona tena huyo labda kwa kugongana barabarani
 
Zamani ulikuwa hauwi breka dansa tu
Lazima uwe na breka moyo pia

Hii package ilikuwa well designed by manufacturer.
 
Ila wapenzi wa ujanani sometime penzi lao linadumu mkuu na kujikuta mnakuwa pamoja
So sio mbaya kwa wale ambao waliweza kuyaendeleza na sasa hivi wako pamoja kama familia

Naye Nyerere alikuwa anatupeleka mbali sana. Yaani unatoka Old Moshi unapelekwa Songea Boys dah!
 
Ulifanya vizuri kumwambia ukweli kwamba humtaki............. usitegemee kumwona tena huyo labda kwa kugongana barabarani

Etieeeeeeeeeeee haya bana! Mkimwona huko peni salamu zangu!
 
Zamani ulikuwa hauwi breka dansa tu
Lazima uwe na breka moyo pia

Hii package ilikuwa well designed by manufacturer.

Ha ha ha mkuu ina maana ilikuwa ni ka formula fulani sio!
 
Niko hapa Anna, its too late kama ambavyo ulinikataa na mimi nakutamkia leo SIKUTAKI, niko na anaejua thamani ya Anna

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…