Tulilalamika ununuzi wa ndege nje ya bajeti, Soko la Kariakoo litajengwa kwa bajeti iliyopitishwa Bungeni?

Soko la Kariakoo linajengwa upya kwa fedha za mfuko wa dharura na maafa.
Sawa..hela za covid kiasi gani? Maana zenji imeenda bill 250, soko la kkoo billioni 300, wamachinga wametengewa billioni 500, huko elimu na afya imeenda ngapi sijui..

Hizi hela naona mama anazimwaga tu akiamini atasifiwa kumbe anajitengenezea anguko la kisiasa. Asije tu akaifinya ripoti ijayo ya CAG.
 
Naomba wanaojua Kama fedha za kujenga soko jipya Kariakoo zipo kwenye bajeti au zimetoka kwa Mhe Rais. Kama zinatoka kwa Rais je yeye anazitoa wapi?

Au tunaendelea kuwa taasisi inayopanga namna kinyume na Bunge Kama ilivyokuwa awamu ya Tano? Auditing yake itakuwaje? Value for money itapimwaje?
Kwani wewe ukilalamika kuna kosa gani?
 
Sawa..hela za covid kiasi gani? Maana zenji imeenda bill 250, soko la kkoo billioni 300, wamachinga wametengewa billioni 500, huko elimu na afya imeenda ngapi sijui..

Hizi hela naona mama anazimwaga tu akiamini atasifiwa kumbe anajitengenezea anguko la kisiasa. Asije tu akaifinya ripoti ijayo ya CAG.
Kariakoo si 34B? Su nilisikia vibaya mzee?
 
Hata nyumba yako ikiporomoka kwa tafsiri ya kupata maafa serikali itakujengea nyumba nyingine,siku zote mfuko wa maafa upo standby kwa dharura yeyote,hivyo soko la kariakoo lilipata maafa kwa maana ya kuungua hivyo litajengwa kwa fedha ya maafa na dharura
 
Sawa..hela za covid kiasi gani? Maana zenji imeenda bill 250, soko la kkoo billioni 300, wamachinga wametengewa billioni 500, huko elimu na afya imeenda ngapi sijui..

Hizi hela naona mama anazimwaga tu akiamini atasifiwa kumbe anajitengenezea anguko la kisiasa. Asije tu akaifinya ripoti ijayo ya CAG.

Soko la kariakoo 300b? Rekebisha huo upotoshaji wako.
 
Ni kweli machinga wametengewa 500bn?
Sina uhakika na hilo Mkuu nimeona mchangiaji mmoja ameandika 300bn kwa soko lakini nahisi alimaanisha 30bn na pia ameandika 500bn sasa sijui hii ni ya nini na lini imepangiwa matumizi hayo?!
 
Ok, maana kwakweli hizo pesa siku hizi haziendi zilikokusudiwa, sasa ukisikia 500bn zimetengwa kwa machinga, taa inawaka kichwani kwamba ni mfereji mwingine wa maji taka unaoenda kupitisha maji safi na salama kwa walafi kupakua.

Uongo, wapigaji wote wamerudi, kwenye mabaa siku hizi ni oya oya, mtu mmoja mtumishi wa serikali kujenga nyumba 8 kwa mpigo ndo yanayoendelea sasa ILA hakuna darasa lililokarabatiwa au kujengwa mpaka sasa, zaidi ya uviko, sikni yanayohubiriwa kwakweli zaidi ya umaliziaji ya yale yaliyolipwa na kuanzishwa kipindi kile.

Inatia shaka sana
 
Naomba wanaojua Kama fedha za kujenga soko jipya Kariakoo zipo kwenye bajeti au zimetoka kwa Mhe Rais. Kama zinatoka kwa Rais je yeye anazitoa wapi?

Au tunaendelea kuwa taasisi inayopanga namna kinyume na Bunge Kama ilivyokuwa awamu ya Tano? Auditing yake itakuwaje? Value for money itapimwaje?
Hapo kwenye hizo 32B ujue 12B itatafunwa na wajanja, hiko ndipo wanakopigia wakubwa
 
Sawa..hela za covid kiasi gani? Maana zenji imeenda bill 250, soko la kkoo billioni 300, wamachinga wametengewa billioni 500, huko elimu na afya imeenda ngapi sijui..

Hizi hela naona mama anazimwaga tu akiamini atasifiwa kumbe anajitengenezea anguko la kisiasa. Asije tu akaifinya ripoti ijayo ya CAG.
Soko la kariakoo bilion 32, machinga bilion 5
 
Ok, maana kwakweli hizo pesa siku hizi haziendi zilikokusudiwa, sasa ukisikia 500bn zimetengwa kwa machinga, taa inawaka kichwani kwamba ni mfereji mwingine wa maji taka unaoenda kupitisha maji safi na salama kwa walafi kupakua.

Uongo, wapigaji wote wamerudi, kwenye mabaa siku hizi ni oya oya, mtu mmoja mtumishi wa serikali kujenga nyumba 8 kwa mpigo ndo yanayoendelea sasa ILA hakuna darasa lililokarabatiwa au kujengwa mpaka sasa, zaidi ya uviko, sikni yanayohubiriwa kwakweli zaidi ya umaliziaji ya yale yaliyolipwa na kuanzishwa kipindi kile.

Inatia shaka sana
Hapa unajaribu kuwa skeptical au ndo uhalisia wenyewe?

Nafikiri Mama hakutania kuhusu ile 1.3tn watazitapika mbona.
 
Sawa..hela za covid kiasi gani? Maana zenji imeenda bill 250, soko la kkoo billioni 300, wamachinga wametengewa billioni 500, huko elimu na afya imeenda ngapi sijui..

Hizi hela naona mama anazimwaga tu akiamini atasifiwa kumbe anajitengenezea anguko la kisiasa. Asije tu akaifinya ripoti ijayo ya CAG.
Acha upuuzi, unajua 300b au 500n wewe?
Jengo la 300b tanzania liko wapi au mradi wa 500b kwa ujenz wa jengo?
 
Hapa unajaribu kuwa skeptical au ndo uhalisia wenyewe?

Nafikiri Mama hakutania kuhusu ile 1.3tn watazitapika mbona.
Hapana boss, hakuna kitu kama kuzitapika tena!

Pia uhalisia uko hivyo mkubwa, hakuna hata moja lililotimia ambalo ni tangible kwasababu ya mama! Semina feki zimerudi, michakato imerudi (tunakaa na majaa ya tiaraei, wanasema mambo ni bulbul sasa hivi), zile gari zilizofichwa sasa ziko barabarani, mimi bunafsi nishanywea mbele ya NITAKUPOTEZA(unanijua mimi nani) dk suu tu mara 4 sasa! Kupewa doc za polisi kwa sasa ni bidhaa, huna hela hupewi, wazi kabisa unaulizwa UNA PESA gari yako ikaguliwe(vehicle inspector)?

Niambie, MKALIFANYIE KAZI ngapi umezisikia na MIREJESHO mingapi umeipata mpaka sasa?

Siko kukosea au kumponda mama ila ukweli ndio huo, tuliambiwa amebana matumizi kwenda USA kwa commercial airline, nini kimetokea safari ya Scotland?

Anasema safari zake zinaleta pesa ndani, kwa nani zinaenda hizo pesa? Kama tozo zinaenda kwenye madarasa, za uviko zinaenda kwenye madarasa, na si ajabu za mazingira nazi zitaenda kwenye madarasa.

Haya si mambo tuliyoyasikia awamu ya nne? Wengi wakisema, bora ale ila atuachie na sisi tule?

Sasa fikiria, wanaonufaika na upigaji ni 1.666% ya waTz wote, 98% wanaendelea kuwanufaisha hawa 2% kwa jasho, machozi na damu. 2% wanasomesha watoto wao nje, 20% Kayumba na Kata n.k

Wapi ujenzi umeanza wa madarasa ya tozo kabla hata ya Uviko?
 
Kwanini unasema feki, unataka mambo ya kutandikana bakora yarudi
 
Back
Top Bottom