Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Sawa..hela za covid kiasi gani? Maana zenji imeenda bill 250, soko la kkoo billioni 300, wamachinga wametengewa billioni 500, huko elimu na afya imeenda ngapi sijui..Soko la Kariakoo linajengwa upya kwa fedha za mfuko wa dharura na maafa.
Kwani wewe ukilalamika kuna kosa gani?Naomba wanaojua Kama fedha za kujenga soko jipya Kariakoo zipo kwenye bajeti au zimetoka kwa Mhe Rais. Kama zinatoka kwa Rais je yeye anazitoa wapi?
Au tunaendelea kuwa taasisi inayopanga namna kinyume na Bunge Kama ilivyokuwa awamu ya Tano? Auditing yake itakuwaje? Value for money itapimwaje?
Kariakoo si 34B? Su nilisikia vibaya mzee?Sawa..hela za covid kiasi gani? Maana zenji imeenda bill 250, soko la kkoo billioni 300, wamachinga wametengewa billioni 500, huko elimu na afya imeenda ngapi sijui..
Hizi hela naona mama anazimwaga tu akiamini atasifiwa kumbe anajitengenezea anguko la kisiasa. Asije tu akaifinya ripoti ijayo ya CAG.
Ndivyo ilivyoKariakoo si 34B? Su nilisikia vibaya mzee?
Sawa..hela za covid kiasi gani? Maana zenji imeenda bill 250, soko la kkoo billioni 300, wamachinga wametengewa billioni 500, huko elimu na afya imeenda ngapi sijui..
Hizi hela naona mama anazimwaga tu akiamini atasifiwa kumbe anajitengenezea anguko la kisiasa. Asije tu akaifinya ripoti ijayo ya CAG.
Aneshindwa ku control zero "0" labda alimaanisha 30bnSoko la kariakoo 300b? Rekebisha huo upotoshaji wako.
Ni kweli machinga wametengewa 500bn?Aneshindwa ku control zero "0" labda alimaanisha 30bn
Sina uhakika na hilo Mkuu nimeona mchangiaji mmoja ameandika 300bn kwa soko lakini nahisi alimaanisha 30bn na pia ameandika 500bn sasa sijui hii ni ya nini na lini imepangiwa matumizi hayo?!Ni kweli machinga wametengewa 500bn?
Ok, maana kwakweli hizo pesa siku hizi haziendi zilikokusudiwa, sasa ukisikia 500bn zimetengwa kwa machinga, taa inawaka kichwani kwamba ni mfereji mwingine wa maji taka unaoenda kupitisha maji safi na salama kwa walafi kupakua.Sina uhakika na hilo Mkuu nimeona mchangiaji mmoja ameandika 300bn kwa soko lakini nahisi alimaanisha 30bn na pia ameandika 500bn sasa sijui hii ni ya nini na lini imepangiwa matumizi hayo?!
Hapo kwenye hizo 32B ujue 12B itatafunwa na wajanja, hiko ndipo wanakopigia wakubwaNaomba wanaojua Kama fedha za kujenga soko jipya Kariakoo zipo kwenye bajeti au zimetoka kwa Mhe Rais. Kama zinatoka kwa Rais je yeye anazitoa wapi?
Au tunaendelea kuwa taasisi inayopanga namna kinyume na Bunge Kama ilivyokuwa awamu ya Tano? Auditing yake itakuwaje? Value for money itapimwaje?
Soko la kariakoo bilion 32, machinga bilion 5Sawa..hela za covid kiasi gani? Maana zenji imeenda bill 250, soko la kkoo billioni 300, wamachinga wametengewa billioni 500, huko elimu na afya imeenda ngapi sijui..
Hizi hela naona mama anazimwaga tu akiamini atasifiwa kumbe anajitengenezea anguko la kisiasa. Asije tu akaifinya ripoti ijayo ya CAG.
Hapa unajaribu kuwa skeptical au ndo uhalisia wenyewe?Ok, maana kwakweli hizo pesa siku hizi haziendi zilikokusudiwa, sasa ukisikia 500bn zimetengwa kwa machinga, taa inawaka kichwani kwamba ni mfereji mwingine wa maji taka unaoenda kupitisha maji safi na salama kwa walafi kupakua.
Uongo, wapigaji wote wamerudi, kwenye mabaa siku hizi ni oya oya, mtu mmoja mtumishi wa serikali kujenga nyumba 8 kwa mpigo ndo yanayoendelea sasa ILA hakuna darasa lililokarabatiwa au kujengwa mpaka sasa, zaidi ya uviko, sikni yanayohubiriwa kwakweli zaidi ya umaliziaji ya yale yaliyolipwa na kuanzishwa kipindi kile.
Inatia shaka sana
Acha upuuzi, unajua 300b au 500n wewe?Sawa..hela za covid kiasi gani? Maana zenji imeenda bill 250, soko la kkoo billioni 300, wamachinga wametengewa billioni 500, huko elimu na afya imeenda ngapi sijui..
Hizi hela naona mama anazimwaga tu akiamini atasifiwa kumbe anajitengenezea anguko la kisiasa. Asije tu akaifinya ripoti ijayo ya CAG.
Hapana boss, hakuna kitu kama kuzitapika tena!Hapa unajaribu kuwa skeptical au ndo uhalisia wenyewe?
Nafikiri Mama hakutania kuhusu ile 1.3tn watazitapika mbona.
Kwanini unasema feki, unataka mambo ya kutandikana bakora yarudiHapana boss, hakuna kitu kama kuzitapika tena!
Pia uhalisia uko hivyo mkubwa, hakuna hata moja lililotimia ambalo ni tangible kwasababu ya mama! Semina feki zimerudi, michakato imerudi (tunakaa na majaa ya tiaraei, wanasema mambo ni bulbul sasa hivi), zile gari zilizofichwa sasa ziko barabarani, mimi bunafsi nishanywea mbele ya NITAKUPOTEZA(unanijua mimi nani) dk suu tu mara 4 sasa! Kupewa doc za polisi kwa sasa ni bidhaa, huna hela hupewi, wazi kabisa unaulizwa UNA PESA gari yako ikaguliwe(vehicle inspector)?
Niambie, MKALIFANYIE KAZI ngapi umezisikia na MIREJESHO mingapi umeipata mpaka sasa?
Siko kukosea au kumponda mama ila ukweli ndio huo, tuliambiwa amebana matumizi kwenda USA kwa commercial airline, nini kimetokea safari ya Scotland?
Anasema safari zake zinaleta pesa ndani, kwa nani zinaenda hizo pesa? Kama tozo zinaenda kwenye madarasa, za uviko zinaenda kwenye madarasa, na si ajabu za mazingira nazi zitaenda kwenye madarasa.
Haya si mambo tuliyoyasikia awamu ya nne? Wengi wakisema, bora ale ila atuachie na sisi tule?
Sasa fikiria, wanaonufaika na upigaji ni 1.666% ya waTz wote, 98% wanaendelea kuwanufaisha hawa 2% kwa jasho, machozi na damu. 2% wanasomesha watoto wao nje, 20% Kayumba na Kata n.k
Wapi ujenzi umeanza wa madarasa ya tozo kabla hata ya Uviko?