Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
-
- #21
mbona haya masomo ya kujua kusoma namba na kuandika namba unajifunza hata college hapa masomo ya mwanzo ya hesabu utadhani hukusoma shuleni.
Unaambiwa andika hii namba kwa maneno: 4,834,868.62
Kwa kiswahili utaiandikaje?
aisee na hao waliopewa chech mbona wahwalalamiki? au waltafuta cfa kwenye vyombo vya habari-hawa ndo wahasibu wa kupewa kazi bila enterview
...labda shorthand za sms zimewaharibu!!! 🙂
mbona haya masomo ya kujua kusoma namba na kuandika namba unajifunza hata college hapa masomo ya mwanzo ya hesabu utadhani hukusoma shuleni.
Unaambiwa andika hii namba kwa maneno: 4,834,868.62
Kwa kiswahili utaiandikaje?
mbona haya masomo ya kujua kusoma namba na kuandika namba unajifunza hata college hapa masomo ya mwanzo ya hesabu utadhani hukusoma shuleni.
Unaambiwa andika hii namba kwa maneno: 4,834,868.62
Kwa kiswahili utaiandikaje?
Meneja Uhusiano wa TBL,Edith Mushi (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milion 4.8 kwa Mwenyekiti wa TASWA FC,Majuto Omary kwa ajili ya mashindao ya Bonanza huko mkoani Arusha.katikati ni Afisa Uhusiano wa TBL,Lilian Erasmus.
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) imetoa sh. 4, 875,000 kwa timu ya soka ya Waandishi wa Habari za Michezo Nchini (TASWA FC) kwa ajili ya kushiriki katika bonanza la waandishi wa habari wa Mkoa wa Arusha.
Milioni nne laki nane elfu thelathini na nne mia nane sitini na nane na nukta/ pointi (senti kama fedha) sitini na mbili.
Umeenda vizuuri mwisho umeingia mtaroni. ukiisha fika kwenye nukta unaanza kutaja namba kama zilivyo: yaani hapo ingekuwa sita, mbili
Hmmm...kweli hivyo unavyosema? Maana mimi sikumbuki senti kutamkwa ama kuandikwa kihivyo.....yaani 'senti sita mbili?'.....hata haiji kabisa....
Na Edith mwenyewe kaweka saini hapo chini?Kweli 'kazi za kupeana' zina shida.Anyway,"toa kitu nawe upewe",LOLZ!Nchi yetu kwa kweli!!!
umejuaje ilitakiwa iwe milioni nne na laki nane...Kulikuwa na ugumu gani kuandika 'shilingi milioni nne na laki nane tu'....
Meneja Uhusiano wa TBL,Edith Mushi (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milion 4.8 kwa Mwenyekiti wa TASWA FC,Majuto Omary kwa ajili ya mashindao ya Bonanza huko mkoani Arusha.katikati ni Afisa Uhusiano wa TBL,Lilian Erasmus.
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) imetoa sh. 4, 875,000 kwa timu ya soka ya Waandishi wa Habari za Michezo Nchini (TASWA FC) kwa ajili ya kushiriki katika bonanza la waandishi wa habari wa Mkoa wa Arusha.
umejuaje ilitakiwa iwe milioni nne na laki nane
Meneja Uhusiano wa TBL,Edith Mushi (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milion 4.8 kwa Mwenyekiti wa TASWA FC,Majuto Omary kwa ajili ya mashindao ya Bonanza huko mkoani Arusha.katikati ni Afisa Uhusiano wa TBL,Lilian Erasmus.
Lakini kilichoandikwa kwa numerali (kwenye hundi) ndio hicho hicho kilichoandikwa kwa maneno. Sioni kosa hapo, ilsipokuwa hiyo THOUSANDS ilitakiwa kuandikwa THOUSAND. Sielewi hiyo 4,875,000/= Mwanakijiji ameitoa wapi. Labda kuna ajenda hapa!
Tatizo jingine ni kuwa kwenye habari hapo chini kuna 75,000 ambazo hazionekani kwenye cheki wala kwenye maneno!!