Tulimcheka Kikwete kumbe wengine wapo!

Tulimcheka Kikwete kumbe wengine wapo!

mbona haya masomo ya kujua kusoma namba na kuandika namba unajifunza hata college hapa masomo ya mwanzo ya hesabu utadhani hukusoma shuleni.

Unaambiwa andika hii namba kwa maneno: 4,834,868.62

Kwa kiswahili utaiandikaje?
 
Tena kwenye Liberal Arts college zingine wanakufundisha hadi jinsi ya kuandika kwenye hundi......
 
Tukosoma vizuri tuta improve. Mmesikia wajameni! Ndio maana tunaboresha mitaala kwa shule za voda fasta
 
aisee na hao waliopewa chech mbona wahwalalamiki? au waltafuta cfa kwenye vyombo vya habari-hawa ndo wahasibu wa kupewa kazi bila enterview
 
...labda shorthand za sms zimewaharibu!!! 🙂
 
ru76er.jpg
 
mbona haya masomo ya kujua kusoma namba na kuandika namba unajifunza hata college hapa masomo ya mwanzo ya hesabu utadhani hukusoma shuleni.

Unaambiwa andika hii namba kwa maneno: 4,834,868.62

Kwa kiswahili utaiandikaje?

Milioni nne laki nane elfu thelathini na nne mia nane sitini na nane na nukta/ pointi (senti kama fedha) sitini na mbili.
 
milioni nne laki nane thelathini na nne elfu mia nane sitini na nane na senti sitini na mbili.......lazima utulie kidogo otherwise utaangukia kwenye group moja na hao hapo juu kabisa.
 
IMG_0605.JPG

Meneja Uhusiano wa TBL,Edith Mushi (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milion 4.8 kwa Mwenyekiti wa TASWA FC,Majuto Omary kwa ajili ya mashindao ya Bonanza huko mkoani Arusha.katikati ni Afisa Uhusiano wa TBL,Lilian Erasmus.

Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) imetoa sh. 4, 875,000 kwa timu ya soka ya Waandishi wa Habari za Michezo Nchini (TASWA FC) kwa ajili ya kushiriki katika bonanza la waandishi wa habari wa Mkoa wa Arusha.

Na Edith mwenyewe kaweka saini hapo chini?Kweli 'kazi za kupeana' zina shida.Anyway,"toa kitu nawe upewe",LOLZ!Nchi yetu kwa kweli!!!
 
Milioni nne laki nane elfu thelathini na nne mia nane sitini na nane na nukta/ pointi (senti kama fedha) sitini na mbili.

Umeenda vizuuri mwisho umeingia mtaroni. ukiisha fika kwenye nukta unaanza kutaja namba kama zilivyo: yaani hapo ingekuwa sita, mbili
 
Hmmm...kweli hivyo unavyosema? Maana mimi sikumbuki senti kutamkwa ama kuandikwa kihivyo.....yaani 'senti sita mbili?'.....hata haiji kabisa....
 
Hapo sio umakini wala uharaka wa kuwahi picha, Yaani hapo kamaliza kabisa hata ukimwamsha usingizini atairudia hivyo hivyo!
 
Hmmm...kweli hivyo unavyosema? Maana mimi sikumbuki senti kutamkwa ama kuandikwa kihivyo.....yaani 'senti sita mbili?'.....hata haiji kabisa....

Ngabu, anachosema ni kweli kulingana na jinsi Mkjj alivyouliza, maana hakusema kama ni swala la senti au kutaja tarakimu tu. Kama ni tarakimu, basi desimali huwa zinatenganishwa kwenye kuzitamka. Lakini kama Mkjj amemaanisha pesa, hiyo haihitajiki na Hofstede atakuwa anachemsha kwa maoni yangu.
 
Na Edith mwenyewe kaweka saini hapo chini?Kweli 'kazi za kupeana' zina shida.Anyway,"toa kitu nawe upewe",LOLZ!Nchi yetu kwa kweli!!!

Chakujiuliza: Je, hili ni kosa la kwanza la kudondoka sahihi kwenye hundi bila kusoma kilichoandikwa, au laa?!
 
Tatizo jingine ni kuwa kwenye habari hapo chini kuna 75,000 ambazo hazionekani kwenye cheki wala kwenye maneno!!
 
IMG_0605.JPG

Meneja Uhusiano wa TBL,Edith Mushi (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milion 4.8 kwa Mwenyekiti wa TASWA FC,Majuto Omary kwa ajili ya mashindao ya Bonanza huko mkoani Arusha.katikati ni Afisa Uhusiano wa TBL,Lilian Erasmus.

Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) imetoa sh. 4, 875,000 kwa timu ya soka ya Waandishi wa Habari za Michezo Nchini (TASWA FC) kwa ajili ya kushiriki katika bonanza la waandishi wa habari wa Mkoa wa Arusha.

umejuaje ilitakiwa iwe milioni nne na laki nane

Angalia hapo kwenye rangi nyekundu au rudi usome tundiko la kwanza......
 
IMG_0605.JPG

Meneja Uhusiano wa TBL,Edith Mushi (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milion 4.8 kwa Mwenyekiti wa TASWA FC,Majuto Omary kwa ajili ya mashindao ya Bonanza huko mkoani Arusha.katikati ni Afisa Uhusiano wa TBL,Lilian Erasmus.

Lakini kilichoandikwa kwa numerali (kwenye hundi) ndio hicho hicho kilichoandikwa kwa maneno. Sioni kosa hapo, ilsipokuwa hiyo THOUSANDS ilitakiwa kuandikwa THOUSAND. Sielewi hiyo 4,875,000/= Mwanakijiji ameitoa wapi. Labda kuna ajenda hapa!
 
Back
Top Bottom