Tulimiliki sana mpira na kuwakimbiza

Tulimiliki sana mpira na kuwakimbiza

Yanga tunakufa goli hiz 2 leo.Tuwe realistic tu hamna haja ya kujipa moyo. Timu yetu ninya kawaida sanaaaaa msimu huu tofaut na msimu uliopita. Yanga hii hatabhaitishi labda kumtishia simba tu
 
Nani yupo biased ushaniona mimi nimefungua uzi kuhusiana na timu yako au Yanga.

Wewe ndiye unaye jishtukia unazani leo utapata faraja pale taifa,mpaka unaisahau timu yako, yani unachambua mechi ya Yanga week nzima thread kibao.Utazani ww uchezi leo ndio maana nikakuuliza au unajua leo unapigwa Botswana.
Mkuu neno 'utadhani' linakupa shida sana kuliandika kwa usahihi
 
Wakuu baadaye hatuzitaki kauli hizi humu, wanajifahamu wenyewe, ooh ball passesion tuliwakamata, ingeongezwa dk 5 tu tulikuwa tunawakalisha.

Hizi kauli msizilete humu,ukipigwa umepigwa hata possession ingekuwa 0.9% kwa 99.1%. ukipigwa tulia kaa pembeni jitafakari sio kelele, hii siyo shirikisho tulia kama unanyolewa.
Naona na nyie tena mdaa huu lawama kwa Mangungu na Mooooo..... mtaenda mpaka kwenye jezi na kuanza kuzilalamikia logo za MoXtra kubwa na ndogo.
 
Back
Top Bottom