Tulimiliki sana mpira na kuwakimbiza

Yanga tunakufa goli hiz 2 leo.Tuwe realistic tu hamna haja ya kujipa moyo. Timu yetu ninya kawaida sanaaaaa msimu huu tofaut na msimu uliopita. Yanga hii hatabhaitishi labda kumtishia simba tu
 
Na kwenye mechi yenu kutakuwa na kauli zipi?

Maanake unavyo iandama Yanga utazani wewe leo uchezi au ndio tayari ushakubali leo unapigwa.
utazani=utadhani
Uchezi= huchezi
 
Mkuu neno 'utadhani' linakupa shida sana kuliandika kwa usahihi
 
Naona na nyie tena mdaa huu lawama kwa Mangungu na Mooooo..... mtaenda mpaka kwenye jezi na kuanza kuzilalamikia logo za MoXtra kubwa na ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…