Tulimuona Kafulila mjinga, kumbe kusifu unalamba uteuzi

Tulimuona Kafulila mjinga, kumbe kusifu unalamba uteuzi

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
20,654
Reaction score
35,887
Wengi tulimwona chizi,wengine tufikiri anakaribia kupelekwa Mirembe.

Kumbe Kafulila alishausoma mchezo ni mwendo wa kusifu na kuimba mapambio yenye sifa na utukufu.

Na mimi Ngongo nalianzisha,
Mama anaupiga mwingi.
Hakuna kama Mama.
2025 ni yeye tu hakuna mwingine.
Uchumi umepaa kipindi cha Mama.
 
Mama hoyee
Mama bonge la Actress ref movie ya utalii
Mama kaupiga mwingi mpk unamwagikia
Mama hata asipopaka mekapu anawaka tuu
Jicho la mama linatumbeleza watanzania
Mama akivaa juba akivaa kitenge anawaka
Twende na mama 2025
Nafasi ni chache,ngoja nilambe uteuzi kwanza ndio uanze kusifu.
 
Na mimi Ngongo nalianzisha,
Mama anaupiga mwingi.
Hakuna kama Mama.
2025 ni yeye tu hakuna mwingine.
Uchumi umepaa kipindi cha Mama.[emoji23]
 
Na mimi Ngongo nalianzisha,
Mama anaupiga mwingi.
Hakuna kama Mama.
2025 ni yeye tu hakuna mwingine.
Uchumi umepaa kipindi cha Mama.[emoji23]


Muulize aunt Fatu kule visiwani
 
Mama hoyee
Mama bonge la Actress ref movie ya utalii
Mama kaupiga mwingi mpk unamwagikia
Mama hata asipopaka mekapu anawaka tuu
Jicho la mama linatubembeleza watanzania
Mama akivaa juba akivaa kitenge anawaka
Twende na mama 2025
Huendi mbinguni aaaaaaHaaaa khaaaaa
 
Mama hoyee
Mama bonge la Actress ref movie ya utalii
Mama kaupiga mwingi mpk unamwagikia
Mama hata asipopaka mekapu anawaka tuu
Jicho la mama linatubembeleza watanzania
Mama akivaa juba akivaa kitenge anawaka
Twende na mama 2025
[emoji23][emoji23]. Sasa inatakiwa usifie wasiwasi huku unaigizaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ccm wanajuana wao upeana zamu tu ya kula. Ukitumbuliwa kuwa mpole kesho utarudi
 
Back
Top Bottom