Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Ila Kwa Pascal Mayalla imekua ngumu, sijui anakosea wapi?
Wana jf, lazima mjifunze kutofautisha wapongezaji bonafide genuine na machawa!.Mbona Pascal Mayalla hakumbukwi na mwimba mapambio mzuri tuu?,basi kuna tatizo mahali[emoji2][emoji2]
Japo the dividing line is very thin, wapongezaji genuine ni ma critical thinkers wakati machawa ni kujikomba komba tuu!. Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
P