Nafasi ni chache,ngoja nilambe uteuzi kwanza ndio uanze kusifu.Mama hoyee
Mama bonge la Actress ref movie ya utalii
Mama kaupiga mwingi mpk unamwagikia
Mama hata asipopaka mekapu anawaka tuu
Jicho la mama linatumbeleza watanzania
Mama akivaa juba akivaa kitenge anawaka
Twende na mama 2025
Tupambane wote huwezi jua 😆 😆 😆Nafasi ni chache,ngoja nilambe uteuzi kwanza ndio uanze kusifu.
USihofu jicho la mama linaangalia bila upendeleoUnaweza kunitangulia bwashe
Ila Kwa Pascal Mayalla imekua ngumu, sijui anakosea wapi?Na mimi Ngongo nalianzisha,
Mama anaupiga mwingi.
Hakuna kama Mama.
2025 ni yeye tu hakuna mwingine.
Uchumi umepaa kipindi cha Mama.
Kukopa lazima[emoji28], ujaweka hii, wameshapamba hii.Na mimi Ngongo nalianzisha,
Mama anaupiga mwingi.
Hakuna kama Mama.
2025 ni yeye tu hakuna mwingine.
Uchumi umepaa kipindi cha Mama.[emoji23]
Muulize aunt Fatu kule visiwani
njia nzuri na ya haraka ni kuitisha press...Wengi tulimwona chizi,wengine tufikiri anakaribia kupelekwa Mirembe...
Huendi mbinguni aaaaaaHaaaa khaaaaaMama hoyee
Mama bonge la Actress ref movie ya utalii
Mama kaupiga mwingi mpk unamwagikia
Mama hata asipopaka mekapu anawaka tuu
Jicho la mama linatubembeleza watanzania
Mama akivaa juba akivaa kitenge anawaka
Twende na mama 2025
[emoji23][emoji23]. Sasa inatakiwa usifie wasiwasi huku unaigizaaMama hoyee
Mama bonge la Actress ref movie ya utalii
Mama kaupiga mwingi mpk unamwagikia
Mama hata asipopaka mekapu anawaka tuu
Jicho la mama linatubembeleza watanzania
Mama akivaa juba akivaa kitenge anawaka
Twende na mama 2025
Hatarii[emoji23][emoji23]. Sasa inatakiwa usifie wasiwasi huku unaigizaa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app