Tulimuona Kafulila mjinga, kumbe kusifu unalamba uteuzi

Ila Kwa Pascal Mayalla imekua ngumu, sijui anakosea wapi?
Mbona Pascal Mayalla hakumbukwi na mwimba mapambio mzuri tuu?,basi kuna tatizo mahali[emoji2][emoji2]
Wana jf, lazima mjifunze kutofautisha wapongezaji bonafide genuine na machawa!.

Japo the dividing line is very thin, wapongezaji genuine ni ma critical thinkers wakati machawa ni kujikomba komba tuu!. Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
P
 
Humu mbona walikuwepo moto sana Yehodaya, Jingalao, cocochanel, magonjwa mtambuka, etwege, NdegeJohn, na wengine ila walipotea
John baptist naona naye pumzi inakata muda si mrefu. Hizo fani zina wenyewe.
 
Mama hoyee
Mama bonge la Actress ref movie ya utalii
Mama kaupiga mwingi mpk unamwagikia
Mama hata asipopaka mekapu anawaka tuu
Jicho la mama linatubembeleza watanzania
Mama akivaa juba akivaa kitenge anawaka
Twende na mama 2025
Hapa huwezi kosa udisii πŸ˜€

Umesahau namba ya Simu tu
 
Ungana na Mwashambwa muendeleze gurudumu
 
Kaka ? Hahahaaha subiri ukwezwe usijekweze!
Sijikwezi, bali ile JF tuliojiunga sisi na JF hii ni vitu viwili tofauti, nimekueleza ili mada zangu usizisome kitutusa!, lazima ushirikishe medulla oblingata yako, vinginevyo utaishia chaka!
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…