Tulinde amani kwani hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania

Tulinde amani kwani hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
KABLA YA OKTOBA 29, 2025, Mambo yalikuwa shwari, wananchi walipata usafiri kwa haraka na nafasi. Walemavu na wanafunzi wote walipata huduma, wafanyakazi walifika kazini on time.
Lakini uwajibikaji huo ulirudishwa nyuma.

Baada ya tukio la tarehe 29 Oktoba 2025, vijana waliorubuniwa na watu wachache wakaharibu miundombinu pamoja na baadhi ya vituo vya mafuta.

Angalia madhara yake. Yaligusa kila rika, ikawa ngumu kupata usafiri. Walemavu na wanafunzi wakashindwa kusafiri, wafanyakazi hawakuweza kufika kazini kwa wakati.
Vijana wenzangu, tuwe wazalendo.


 
Linda haki za raia; na uwepo wa siasa safi kwanza amanî itajileta yenyewe
 
Back
Top Bottom