Tulio apply 3rd round inakuaje jamani..msaada

Abuukacha

Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
48
Reaction score
2
Niki log in kwenye account yangu cas wananiambia processed ndo nisubirie wakuu au vp
 
Niki log in kwenye account yangu cas wananiambia processed ndo nisubirie wakuu au vp

Ndugu hope uko aware kuwa third round application iliongezwa muda mpaka tarehe 7 September? Nafikiri baada ya tarehe husika majina yenu yatakuwa yametendewa kazi na utafahamu chuo uendacho! Hofu ondoa sababu ukicheck majina ya chuo kama CUHAS wameandika katika each faculty kwamba hiyo ni first list of names in certain degree program that means third round ndo watakuja kuwa second list. So bro worry not!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…