Tulio bar muda huu tunakunywa tujuane

Tulio bar muda huu tunakunywa tujuane

Ubungo Mataa

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2018
Posts
411
Reaction score
725
Happy new year 2023 to you all Wanabodi.. Heshima mbele!

Tuliopo viwanja muda huu na wake zetu, mchepuke n.k tujuane hapa na kiwanja ulichokaa huku unamwagilia moyo.

NB: Ada za watoto kulipa mwisho tarehe 6. Hakuna mtoto atakayepokelewa bila kukamilika ada yote!

Mm nipo Ngao Pub and Lounge.. Goba hapa, karibu!
 
Mimi niko glocery namalizia kunywa ya mwisho nikalale
 
Back
Top Bottom