Happy new year 2023 to you all Wanabodi.. Heshima mbele!
Tuliopo viwanja muda huu na wake zetu, mchepuke n.k tujuane hapa na kiwanja ulichokaa huku unamwagilia moyo.
NB: Ada za watoto kulipa mwisho tarehe 6. Hakuna mtoto atakayepokelewa bila kukamilika ada yote!
Mm nipo Ngao Pub and Lounge.. Goba hapa, karibu!