Yap utawajua tu yan kwa maana wao hutumia akili na maharifa mno kuliko wa kule mwindeWanaume wa Dar utawajua tu
Sivyo wana mambo ya kikike kike sanaYap utawajua tu yan kwa maana wao hutumia akili na maharifa mno kuliko wa kule mwinde
Sent from my SM-N9200 using JamiiForums mobile app
Joszee, nitafute nikuBANE Kiwanja..!Wanaume wa Dar hongereni mmekaza balaa na mnakomaa na jiji
Kati ya wapi....!!?[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]npo town tena mjini kati
Wanaume wa Dar hongereni mmekaza balaa na mnakomaa na jiji
Kuna bomoabomoa is coming along Morogoro Road.Vyeti feki vimeumiza sana watu.
Wengi wamerudi vijijini sababu ya vyeti feki.
Familia nyingi zimeathirika na vyeti feki.
Walio baki mjini wana hasira sana sana na awamu ya tano.
Tufumbe macho tuombe.
Pamoja sana mkuu