Tulio Fanikiwa Kufika Mwezi Wa 7 Tukiwa Bado Tupo Mjini Dar es salam Tukutane Hapa TUJIPONGEZE

Tulio Fanikiwa Kufika Mwezi Wa 7 Tukiwa Bado Tupo Mjini Dar es salam Tukutane Hapa TUJIPONGEZE

HAYA SAWA TUMEWASIKIA SIKU MKIPASHINDWA SISI NDUGU ZENU WA MIKOANI TUTAMIPOKEA KWA MIKONO MIWILI ILA MKIJA HIZO CAROLITE NA LIPS SHINE ZIACHEN HUKOHUKO HUKU MIKOAN WANAUME HATUTUMII HIZO
 
Sasa waambieni wale wanaosema wanaume wa Dar legelege mkuu alisema tutakao baki ndiyo vudume
 
Yap utawajua tu yan kwa maana wao hutumia akili na maharifa mno kuliko wa kule mwinde

Sent from my SM-N9200 using JamiiForums mobile app
Sivyo wana mambo ya kikike kike sana
 
Vyeti feki vimeumiza sana watu.
Wengi wamerudi vijijini sababu ya vyeti feki.
Familia nyingi zimeathirika na vyeti feki.
Walio baki mjini wana hasira sana sana na awamu ya tano.

Tufumbe macho tuombe.
 
Wanaume wa Dar hongereni mmekaza balaa na mnakomaa na jiji
Joszee, nitafute nikuBANE Kiwanja..!

Jiji hili halina Mwenyewe, mladi tu Umiliki Kiwanja cha HALALI.

Sent from my SM-A500F using JamiiForums mobile app
 
_20170714_221259.JPG

May Allah bless Me and You
 
Vyeti feki vimeumiza sana watu.
Wengi wamerudi vijijini sababu ya vyeti feki.
Familia nyingi zimeathirika na vyeti feki.
Walio baki mjini wana hasira sana sana na awamu ya tano.

Tufumbe macho tuombe.
Kuna bomoabomoa is coming along Morogoro Road.
Fikiria upo kwenye vyeti fake na nyumba inabomolew

May Allah bless Me and You
 
Back
Top Bottom