Alejandroz
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 329
- 413
Mungu ni mwema nilihamia almost nimemaliza kwa asilimia 90. Nilikuwa nimebakiza tiles vyumba viwili, stoo, varanda mbili ya jikoni na mbele ya nyumba na msingi wote. Vile vile tiles za ukutani za jikoni. Choo cha selfu ya room moja pia nilikuwa sijakamilishaSiku njema wana JF
Kuna wakati unafika unaona kuendelea kulipa kodi kwa mama mjengo sio chaguo sahihi,, hivyo unachagua kuingia kwenye nyumba yako ikiwa bado haijakamilika.
Je, uliingia kwenye nyumba yako ikiwa katika hatua gani, kama ilikua bado haijaisha ni nini kilikusukuma na nichangamoto zipi ulizipitia?
Karibuni [emoji846]
🤣😀😀😀😀 walikua wananisaidia sana kukamata nyokapaka kupenya kwenye grill
Yaani Ina Raha 30% na karaha70%Siku njema wana JF
Kuna wakati unafika unaona kuendelea kulipa kodi kwa mama mjengo sio chaguo sahihi,, hivyo unachagua kuingia kwenye nyumba yako ikiwa bado haijakamilika.
Je, uliingia kwenye nyumba yako ikiwa katika hatua gani, kama ilikua bado haijaisha ni nini kilikusukuma na nichangamoto zipi ulizipitia?
Karibuni [emoji846]
Siku njema wana JF

hahah pole mkuuSisimizi,jongoo,nge, mende, siafu ,mbu, mijusi ya ajaba,wakati mwingine wanyama wanapotea njia wanaingia ndani na kuanza kupiga kelele kutafuta pa kutokea.
Kama juzi kaingia bundi asee alisumbua wee acha ila manati yalinisaidia sana japo nilitoboa bati[emoji30][emoji30]
jauHatari sana huu mtaa niliopo nmejenga nyumba nmeishia kulaza bati nmeamia yan mtaa mzima naonekana nmeharibu show
Kumbe ndio wewe kwa kweli umetukera sana majirani zako si ungejenga mpiji hukoHatari sana huu mtaa niliopo nmejenga nyumba nmeishia kulaza bati nmeamia yan mtaa mzima naonekana nmeharibu show
mh yakweli haya?[emoji848]japo bado sijahamia lakin changamoto ni kwamba mjumbe wa mtaa ni mwanga/sangoma kuna siku nmekatisha kwake nakuta kikundi cha watu wanacheza ngoma huku wamevalia mavazi rangi nyejundu, nyeus na nyeupe..,nilichukia sana
Pole mkuu,,Ya kwangu imenigomea kwenye rinta kila nikifosi nachemka, ingekuwa sio watoto wangu wadogo nilionao ningelaza bati mengine ningejua mbele ya safari. Hiki kipindi sijawahi kukutana nacho kwenye maisha yangu
hahah pole mkuu
DuhKumbe ndio wewe kwa kweli umetukera sana majirani zako si ungejenga mpiji huko