Bilali baba sauda
Member
- Oct 13, 2020
- 10
- 22
ubora wa kazi ni vyema ufanye finishing iliyokamilika kwenye room yako utakayolala pengine ndio uende mdogo mdogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku njema wana JF
Kuna wakati unafika unaona kuendelea kulipa kodi kwa mama mjengo sio chaguo sahihi,, hivyo unachagua kuingia kwenye nyumba yako ikiwa bado haijakamilika.
Je, uliingia kwenye nyumba yako ikiwa katika hatua gani, kama ilikua bado haijaisha ni nini kilikusukuma na nichangamoto zipi ulizipitia?
Karibuni [emoji846]
Hahahaa daaa ni changamotoUnahamia
Umeweka tu mlango wa gril mbele na nyuma, dirishani umegonga wavu, milango ya vyumbani hakuna hata frem, chini Kuna jambo tu, ndani ujapiga hata brandaring, umeme una taa tatu pekee taa ya nje, subuleni na chumbani na switch moja tu ya sebuleni ajiri ya kuchajia na kutizama tv
Haya changamoto Sasa Hilo jambo aisee Lina vumbi balaa Kila siku utamwaga maji vitu vinabadilika vianaanza fanana na cement, unawaza nipigie niru ukiwaza mifuko ya cement unashiwa pozi unasema ngoja nikomae niweke tiles
Haya MADIRISHA ya wavu tu kama ujaziba vizuri mvua ikinyesha ya upepo maji yanaingia ndani usiombe ikanyesha usiku [emoji23][emoji23]
Haya ukosefu wa singboard arafu kukawa Kuna popo mungu wangu nyumba inakuwa disco ni kelele za popo aisee, au mda wa show watoro wamelala bibie akinogewa Ile minunguno [emoji23][emoji23][emoji23] unapunguza kasi
Aisee I wish ni sheet video ila basi tu imebaki story
Ni kam umeishi kwangu aisee ilikuwa hii hari ya mapaka hapanakung'atwa mbu , paka kupenya kwenye grill , makelele ya bati wakati wa mvua , vumbi
Mwanamke mrembo hivi unalala peke yako?Mimi yangu nimehamia wiki tatu zilizopita. Madirishani nimeweka wavu wa mbu na grill na nailon kwa ajili ya upepo. Milangoni nimeweka mlango wa gril wenye vioo (milango ya nje miwili).
Chumba nilichokikamilisha ni master tu na dining (ambayo ndio sebule kwa sasa) ndio nimeweka tiliz kila kitu kasoro maridishani ni wavu na maji sijaingiza ndani. Pengine nimefunga board tayari naendelea ku skim sasa.
Hela ambayo nigelipa kodi miezi hii sita, nitanunua tiliz niweke taratibu baada ya hapo nianze kununua madirisha ya alminium moja moja.
Changamoto ni ninaogopa usiku. Nyingine ni za kawaida kama vumbi nk.
Hakuna chumba tupu hapo nije kukupa company na kupunguza ukali wa kodiMimi yangu nimehamia wiki tatu zilizopita. Madirishani nimeweka wavu wa mbu na grill na nailon kwa ajili ya upepo. Milangoni nimeweka mlango wa gril wenye vioo (milango ya nje miwili).
Chumba nilichokikamilisha ni master tu na dining (ambayo ndio sebule kwa sasa) ndio nimeweka tiliz kila kitu kasoro maridishani ni wavu na maji sijaingiza ndani. Pengine nimefunga board tayari naendelea ku skim sasa.
Hela ambayo nigelipa kodi miezi hii sita, nitanunua tiliz niweke taratibu baada ya hapo nianze kununua madirisha ya alminium moja moja.
Changamoto ni ninaogopa usiku. Nyingine ni za kawaida kama vumbi nk.
Pole mrembo, unaishi peke yako?Changamoto ni ninaogopa usiku.
Kipo mkuu. Tena viwili njoo tupeane company.Hakuna chumba tupu hapo nije kukupa company na kupunguza ukali wa kodi
Hongera ila kuwa makin settings ya tiles hapo.unangeanza na sebule korido ukipata level ndio itatembea mpaka vyumban.kuskim unaweza kuanza hata na mfuko 3 kwa chumba kama hutak vumbi hupig msasa utapiga baada ya tiles.maana vumb la skimming ukipiga msasa utaomba poo.Mimi yangu nimehamia wiki tatu zilizopita. Madirishani nimeweka wavu wa mbu na grill na nailon kwa ajili ya upepo. Milangoni nimeweka mlango wa gril wenye vioo (milango ya nje miwili).
Chumba nilichokikamilisha ni master tu na dining (ambayo ndio sebule kwa sasa) ndio nimeweka tiliz kila kitu kasoro maridishani ni wavu na maji sijaingiza ndani. Pengine nimefunga board tayari naendelea ku skim sasa.
Hela ambayo nigelipa kodi miezi hii sita, nitanunua tiliz niweke taratibu baada ya hapo nianze kununua madirisha ya alminium moja moja.
Changamoto ni ninaogopa usiku. Nyingine ni za kawaida kama vumbi nk.
Sisimizi,jongoo,nge, mende, siafu ,mbu, mijusi ya ajaba,wakati mwingine wanyama wanapotea njia wanaingia ndani na kuanza kupiga kelele kutafuta pa kutokea.
Kama juzi kaingia bundi asee alisumbua wee acha ila manati yalinisaidia sana japo nilitoboa bati[emoji30][emoji30]
Hongera ila kuwa makin settings ya tiles hapo.unangeanza na sebule korido ukipata level ndio itatembea mpaka vyumban.kuskim unaweza kuanza hata na mfuko 3 kwa chumba kama hutak vumbi hupig msasa utapiga baada ya tiles.maana vumb la skimming ukipiga msasa utaomba poo.