demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Wakulungwa.
Chama ana offer mezani, Ofa ambazo zina maslahi makubwa zaidi kuliko maslahi anayo yapata hivi sasa. Mnaonaje tujikusanye na kuanzisha kampeni ya kumtetea Triple C ili akafuate changamoto nyingine ambayo ina maslahi zaidi.
Tulionyesha ushirikiano mzuri sana hata tukamchangia Feisal Toto, pale alipo hitaji msaada wetu alipokuwa akipigania wazawa, tukaonyesha ushirikiano ili akavune maslahi makubwa zaidi huko aendako.
Sasa ni wakati wa Chama. Chama anadai kupigania maslahi ya wageni wanao nyanyaswa.
Nawaombeni tumuunge mkono Chama hivi sasa.