Tulio Mchangia Feisal, Tujitokeze Kumtetea Chama Akafuate Maslahi.

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Wakulungwa.
Chama ana offer mezani, Ofa ambazo zina maslahi makubwa zaidi kuliko maslahi anayo yapata hivi sasa. Mnaonaje tujikusanye na kuanzisha kampeni ya kumtetea Triple C ili akafuate changamoto nyingine ambayo ina maslahi zaidi.

Tulionyesha ushirikiano mzuri sana hata tukamchangia Feisal Toto, pale alipo hitaji msaada wetu alipokuwa akipigania wazawa, tukaonyesha ushirikiano ili akavune maslahi makubwa zaidi huko aendako.

Sasa ni wakati wa Chama. Chama anadai kupigania maslahi ya wageni wanao nyanyaswa.

Nawaombeni tumuunge mkono Chama hivi sasa.
 
Kwani mkono umekatika
 
Utaona rangi halisi za watu. Hili la Chama ni la ovyo kama lilivyokuwa la Feisal. Kama mkataba bado uko live mchezaji anaondokaje bila makubaliano na timu yake?
 
Wakulungwa.
Chama ana offer mezani, Ofa ambazo zina maslahi makubwa zaidi kuliko maslahi anayo yapata hivi sasa. Mnaonaje tujikusanye na kuanzisha kampeni ya kumtetea Triple C ili akafuate changamoto nyingine ambayo ina maslahi zaidi.

Tulionyesha ushirikiano mzuri sana hata tukamchangia Feisal Toto, pale alipo hitaji msaada wetu alipokuwa akipigania wazawa, tukaonyesha ushirikiano ili akavune maslahi makubwa zaidi huko aendako.

Sasa ni wakati wa Chama. Chama anadai kupigania maslahi ya wageni wanao nyanyaswa.

Nawaombeni tumuunge mkono Chama hivi sasa.
Nawaunga mkono hoja
 
Hahahahaha,we ujue ni mchokozi ?
 
Wakulungwa.
Chama ana offer mezani, Ofa ambazo zina maslahi makubwa zaidi kuliko maslahi anayo yapata hivi sasa. Mnaonaje tujikusanye na kuanzisha kampeni ya kumtetea Triple C ili akafuate changamoto nyingine ambayo ina maslahi zaidi.
Tumeshamtetea, ameshapata changamoto nyingine Uturuki
 
Back
Top Bottom