Kwani mkono umekatikaWakulungwa.
Chama ana offer mezani, Ofa ambazo zina maslahi makubwa zaidi kuliko maslahi anayo yapata hivi sasa. Mnaonaje tujikusanye na kuanzisha kampeni ya kumtetea Triple C ili akafuate changamoto nyingine ambayo ina maslahi zaidi.
Tulionyesha ushirikiano mzuri sana hata tukamchangia Feisal Toto, pale alipo hitaji msaada wetu alipokuwa akipigania wazawa, tukaonyesha ushirikiano ili akavune maslahi makubwa zaidi huko aendako.
Sasa ni wakati wa Chama. Chama anadai kupigania maslahi ya wageni wanao nyanyaswa.
Nawaombeni tumuunge mkono Chama hivi sasa.
Utaona rangi halisi za watu. Hili la Chama ni la ovyo kama lilivyokuwa la Feisal. Kama mkataba bado uko live mchezaji anaondokaje bila makubaliano na timu yake?Wakulungwa.
Chama ana offer mezani, Ofa ambazo zina maslahi makubwa zaidi kuliko maslahi anayo yapata hivi sasa. Mnaonaje tujikusanye na kuanzisha kampeni ya kumtetea Triple C ili akafuate changamoto nyingine ambayo ina maslahi zaidi.
Tulionyesha ushirikiano mzuri sana hata tukamchangia Feisal Toto, pale alipo hitaji msaada wetu alipokuwa akipigania wazawa, tukaonyesha ushirikiano ili akavune maslahi makubwa zaidi huko aendako.
Sasa ni wakati wa Chama. Chama anadai kupigania maslahi ya wageni wanao nyanyaswa.
Nawaombeni tumuunge mkono Chama hivi sasa.
Chama ameondoka?Utaona rangi halisi za watu. Hili la Chama ni la ovyo kama lilivyokuwa la Feisal. Kama mkataba bado uko live mchezaji anaondokaje bila makubaliano na timu yake?
Nawaunga mkono hojaWakulungwa.
Chama ana offer mezani, Ofa ambazo zina maslahi makubwa zaidi kuliko maslahi anayo yapata hivi sasa. Mnaonaje tujikusanye na kuanzisha kampeni ya kumtetea Triple C ili akafuate changamoto nyingine ambayo ina maslahi zaidi.
Tulionyesha ushirikiano mzuri sana hata tukamchangia Feisal Toto, pale alipo hitaji msaada wetu alipokuwa akipigania wazawa, tukaonyesha ushirikiano ili akavune maslahi makubwa zaidi huko aendako.
Sasa ni wakati wa Chama. Chama anadai kupigania maslahi ya wageni wanao nyanyaswa.
Nawaombeni tumuunge mkono Chama hivi sasa.
Nimeiscreenshot hii commentPole yako. Chama asipoenda Uturuki niite mbwa na anza kunidharau
Hahahahaha,we ujue ni mchokozi ?Wakulungwa.
Chama ana offer mezani, Ofa ambazo zina maslahi makubwa zaidi kuliko maslahi anayo yapata hivi sasa. Mnaonaje tujikusanye na kuanzisha kampeni ya kumtetea Triple C ili akafuate changamoto nyingine ambayo ina maslahi zaidi.
Tulionyesha ushirikiano mzuri sana hata tukamchangia Feisal Toto, pale alipo hitaji msaada wetu alipokuwa akipigania wazawa, tukaonyesha ushirikiano ili akavune maslahi makubwa zaidi huko aendako.
Sasa ni wakati wa Chama. Chama anadai kupigania maslahi ya wageni wanao nyanyaswa.
Nawaombeni tumuunge mkono Chama hivi sasa.
Vipi mkuu scrernshot bado unayo au umeifuta? Nilikuwa najua ninachokwambia.Nimeiscreenshot hii comment
Tumeshamtetea, ameshapata changamoto nyingine UturukiWakulungwa.
Chama ana offer mezani, Ofa ambazo zina maslahi makubwa zaidi kuliko maslahi anayo yapata hivi sasa. Mnaonaje tujikusanye na kuanzisha kampeni ya kumtetea Triple C ili akafuate changamoto nyingine ambayo ina maslahi zaidi.
AahaaaaaVipi mkuu scrernshot bado unayo au umeifuta? Nilikuwa najua ninachokwambia.