Tulio single tujuane

Not single not taken. Nipo tu kuonja onja wapenzi wa watu wengine, nikionja nikinogewa naweka makazi ya muda [emoji38]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kwa kweli itabidi na mimi nifanye hvo maan ukisubiri wako inachukua muda tutakufa na upweke bora kujichnganya tu
 
Loneliness sucks! Sasa kama huku kwetu leo jua halijawaka kabisa imagine hiyo baridi yake eti huko single, huko tu hapo umekikaliza kumsubiri Mr right. Utachelewa dada πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

We tafuta mahusiano yaliolegea legea ujichomeke.
 
Niko single kwa kuwa siko romantic. Yani mkorofi tu wala sina sababu ya ukorofi. Nina miezi kadhaa sasa, afu kutongoza siwezi kabisa. Maana nashindwa kaa naye hata mwezi.

Ila kimasihara inaniokoa sana sijui ningekimbilia wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…