Tulio single tujuane

Tulio single tujuane

linahbaby

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2020
Posts
1,087
Reaction score
3,084
Habarin zenu..? leo tujuane tulio single na kwa nin tuko single [emoji174]

mwenzenu niko single kwa sababu bado sijampta aliye ubavu wangu naangaika na mibavu ya watu mwshowe naumizwa tu
Screenshot_20200907-154624~2.jpg
 
Not single not taken. Nipo tu kuonja onja wapenzi wa watu wengine, nikionja nikinogewa naweka makazi ya muda [emoji38]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kwa kweli itabidi na mimi nifanye hvo maan ukisubiri wako inachukua muda tutakufa na upweke bora kujichnganya tu
 
Loneliness sucks! Sasa kama huku kwetu leo jua halijawaka kabisa imagine hiyo baridi yake eti huko single, huko tu hapo umekikaliza kumsubiri Mr right. Utachelewa dada 😆😆😆

We tafuta mahusiano yaliolegea legea ujichomeke.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kwa kweli itabidi na mimi nifanye hvo maan ukisubiri wako inachukua muda tutakufa na upweke bora kujichnganya tu
 
Niko single kwa kuwa siko romantic. Yani mkorofi tu wala sina sababu ya ukorofi. Nina miezi kadhaa sasa, afu kutongoza siwezi kabisa. Maana nashindwa kaa naye hata mwezi.

Ila kimasihara inaniokoa sana sijui ningekimbilia wapi.
 
Back
Top Bottom