Tulio single tujuane

Tulio single tujuane

Ha haaaaa haaaaa kweli aisee Kama hauna pesa utabiri unaonyesha utaelendelea kuwa single kwa kipindi kirefu...maana ukiambiwa tuma nauli na ya kitolea nije we huna....shida tayari

[emoji23]kabisa,na hakuna kitu kinatuletea umasikini kama kutuma nauli na ya kutolea kwa sababu huwa tunajikuta tumeungia kwenye mikopo umiza hahahaha
 
Ukiwa mwanamme mjanja lazima kwenye bajeti uhesabu na pesa ya mizinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hahaha mkuu,mimi ujue napigwa mizinga na mademu zaidi ya watano hivo nikisema nitoe ntakufa njaa[emoji23] mtanikosa ndugu yenu humu JF
 
Mkuu hebu nipe uzoefu juu ya hili swala la nauli ,inaonekana hiki kipengele muhimu ss wa single ndio kinasumbua

Sent using Jamii Forums mobile app

mkuu, nauli tuma kwa manzi ambaye una uhakika atakuja, hawa wengine unaweza ukaishia kupata huzuni tu
alafu kama siku upo vibaya na unataka aje bila kutuma nauli we mwambie unaumwa[emoji16] na kwenye simu huna pesa na simu yako hujaunganisha na sim banking
 
mkuu,nauli tuma kwa manzi ambaye una uhakika atakuja,hawa wengine unaweza ukaishia kupata huzuni tu
alafu kama siku upo vibaya na unataka aje bila kutuma nauli we mwambie unaumwa[emoji16] na kwenye simu huna pesa na simu yako hujaunganisha na sim banking
Hahahaha, ahsante ,na huwa mnatuma kwa manzi wa dar au mkoani ,au inategemea na ulipo



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom