Tulio single tujuane

Tulio single tujuane

The shit happens when the person you are dating takes you as aside chick while ur counting him as ur main wherever..hapo ujue shida tayari
Hapo inauma sana aisee yeye anakuhitaji akiwa anahitaji mzigo tu .
 
hahaha[emoji23] umeongea kwa uchungu sana,kama nakuona vile
sometime back nilikua na Girl fulani ninadate nae,siku moja aliniuliza hivi “kwani mimi na wewe ni wapenzi” ? nikamuuliza kwani umeniacha ? akauliza “kwani tumewahi kuwa na mahusiano ? nilikaa kimya nikaondoka
Khaa inasikitisha halafu inachekesha.....halafu ukaondoka kimyakimya bila kujitetea?
 
[emoji28]sikumsemesha chochote yani niliondoka kimya na wala sikumtafuta mpaka leo,huwa tunakutana njiani au anakuja kwa marafiki zake ambao ni majirani zangu ila napishana nae simsemeshi chochote,rafiki zake hunitania kuhusu yeye mbele yake ila hua nakausha
 
hahaha[emoji23] umeongea kwa uchungu sana,kama nakuona vile
sometime back nilikua na Girl fulani ninadate nae,siku moja aliniuliza hivi “kwani mimi na wewe ni wapenzi” ? nikamuuliza kwani umeniacha ? akauliza “kwani tumewahi kuwa na mahusiano ? nilikaa kimya nikaondoka
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
[emoji28]sikumsemesha chochote yani niliondoka kimya na wala sikumtafuta mpaka leo,huwa tunakutana njiani au anakuja kwa marafiki zake ambao ni majirani zangu ila napishana nae simsemeshi chochote,rafiki zake hunitania kuhusu yeye mbele yake ila hua nakausha
Una tabia ngumu Sana mjuba.
 
Nimekuelewa vizuri sana.
Hujasema ukinogewa unaweka makazi, umesema unaweka makazi ya muda.

Na mimi nasema hivii, uelewee..!!! ukikunwa ukakunika utakua ndio mwisho wako wakuonja onja. Hutaweka makazi ya muda, utachimba handaki kabisa.
Hivi unavijua vitu vya wizi lakini?
 
Back
Top Bottom