Tulio single tujuane

The shit happens when the person you are dating takes you as aside chick while ur counting him as ur main wherever..hapo ujue shida tayari
Hapo inauma sana aisee yeye anakuhitaji akiwa anahitaji mzigo tu .
 
Khaa inasikitisha halafu inachekesha.....halafu ukaondoka kimyakimya bila kujitetea?
 
Khaa inasikitisha halafu inachekesha.....halafu ukaondoka kimyakimya bila kujitetea?

[emoji28]sikumsemesha chochote yani niliondoka kimya na wala sikumtafuta mpaka leo,huwa tunakutana njiani au anakuja kwa marafiki zake ambao ni majirani zangu ila napishana nae simsemeshi chochote,rafiki zake hunitania kuhusu yeye mbele yake ila hua nakausha
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Una tabia ngumu Sana mjuba.
 
Nimekuelewa vizuri sana.
Hujasema ukinogewa unaweka makazi, umesema unaweka makazi ya muda.

Na mimi nasema hivii, uelewee..!!! ukikunwa ukakunika utakua ndio mwisho wako wakuonja onja. Hutaweka makazi ya muda, utachimba handaki kabisa.
Hivi unavijua vitu vya wizi lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…