Tulio single tujuane

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Jamani
Ndo hivyo Yan.
Mbaya zaidi mi nikipenda Napenda ile kweli, ila kila nikijaribu kuwaelewesha hawa viumbe (SIO kwa maneno tu mpaka kwa vitendo) hawanielewi naishia kuwa rejected naona labda Ni kwa vile Sina mvuto Wala ushawishi wa Aina yoyote kwa hawa viumbe.

Saivi nshachoka Sasa sitongozi Tena labda utokee muujiza akatokea mmoja anipende mwenyewe Kama nilivyo, na nahisi utakuwa ni muujiza wa karne!!
 
Kwa hiyo hadi fitness unaenda lakini watoto still wanaruka vigingi, dah malamamak
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…