Tulio single tujuane

Tulio single tujuane

Ndo hivyo Yan.
Mbaya zaidi mi nikipenda Napenda ile kweli, ila kila nikijaribu kuwaelewesha hawa viumbe (SIO kwa maneno tu mpaka kwa vitendo) hawanielewi naishia kuwa rejected naona labda Ni kwa vile Sina mvuto Wala ushawishi wa Aina yoyote kwa hawa viumbe.
Saivi nshachoka Sasa sitongozi Tena labda utokee muujiza akatokea mmoja anipende mwenyewe Kama nilivyo, na nahisi utakuwa ni muujiza wa karne!!
Tongoza mademu wa class yako mzee baba, mwanamke ni mwanamke tu.

Usije kufa na utamu wako
 
Nawasoma mlio single, wengine tulitegemea tutakua single milele, ila JAH kafanya yake nimetoka kundini.

Kupendwa na kupenda ni raha bhana.
 
Sasa kumbe je? Hata mashoga wenyewe wanataka pesa hujui hilo?
skuiz mtu akiskia pesa tu akili zinahama yuko radhi aliwe tako, ilimradi apate hizo pesa, na hii ni special kwa wanaoendekeza tamaa za pesa.
 
skuiz mtu akiskia pesa tu akili zinahama yuko radhi aliwe tako, ilimradi apate hizo pesa, na hii ni special kwa wanaoendekeza tamaa za pesa.
Hivi
skuiz mtu akiskia pesa tu akili zinahama yuko radhi aliwe tako, ilimradi apate hizo pesa, na hii ni special kwa wanaoendekeza tamaa za pesa.
Sasa Huyo mwanamke anayeingia kwenye mahusiano kwasababu ya pesa ana tofauti gani na Changudoa wa kawaida tu?

Kuhusu mashoga hao wana matatizo mengine.
 
Hivi

Sasa Huyo mwanamke anayeingia kwenye mahusiano kwasababu ya pesa ana tofauti gani na Changudoa wa kawaida tu??!
Kuhusu mashoga hao wana matatizo mengine.

mkuu skuiz hakuna mapenzi wala hapendwi mtu, kinachopendwa ni unanini?/unamiliki nini?/unafanya nini special?

Cha msingi pambana tafta pesa/tafta vyako, uje uchukue mtoto mbichi/mrembo kabisa na saiz yako, demu mnaelingana nae umri tiyari huyo ni mzee sio saiz yako, achana na wazee mnaolingana nao umri.
 
Nipo hapa...ila shida ya mimi ni

Sipendi kupigiwa simu mara kwa mara..
Kuongea mwisho dk 2
Sipendi kutanguzana
Sipendi nikiomba mechi ulete sababu yoyete ya kuninyima
Sipendi unizuie kufanya mambo yangu
Napenda kuombwa hela ila sikupi kwa wakati huo...yaani baada ya saa au masaa kadhaa
Sipendi uongo
Sipendi uongee na mwanaume muda mrefu
Napenda uwe na marafiki wengi wa kike..tena uwe unafika nao hata gheto
 
Back
Top Bottom