Tulio single tujuane

Raha ya kua single bana, unalala na kuamka unavyotaka...ukiamua unaoga ukiamua unapiga ndefu, ukiamua unazurura ndani na boxer au kavu kabisa na hakuna wa kukuuliza..unakula unavyojiskia, unalala popote, subuleni kwenye makochi au chini, bed room, guest room au ht kwenye kivaranda na hakuna kwa kukuuliza na zaidi hela inatulia kwenye wallet(feelings za u Don)...

Tatzo linaanza pale kichwa cha chini kikianza kuwaza na kuwazua...ht vile videmu ulisema hiki nasafisha rungu mara moja tu sirudii tena picha zao zinaanza kutanda na kurindima kichwani...hapo shetani anakua amekaa mkao wa kuangalia cinema na popcon zake kwa pembeni...anakuangalia utapiga simu au utajiunga chaputa kwa muda...either way its win to him..[emoji1787][emoji1787]
 
Ilo Ni kweli 100%
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…