kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 3,607
- 9,430
Loneliness sucks! Sasa kama huku kwetu leo jua halijawaka kabisa imagine hiyo baridi yake eti huko single, huko tu hapo umekikaliza kumsubiri Mr right. Utachelewa dada πππ
We tafuta mahusiano yaliolegea legea ujichomeke.
Mtaa wa saba huko
Duh[emoji848][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Niko single kwa kuwa siko romantic. Yani mkorofi tu wala sina sababu ya ukorofi. Nina miezi kadhaa sasa, afu kutongoza siwezi kabisa. Maana nashindwa kaa naye hata mwezi. Ila kimasihara inaniokoa sana sijui ningekimbilia wapi.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kwa kweli itabidi na mimi nifanye hvo maan ukisubiri wako inachukua muda tutakufa na upweke bora kujichnganya tu
Tutafutane mkuu tumalizehii baridi aiseee tulio single tukisaidiana kwa leo tu sio mbaya[emoji39][emoji39][emoji39] maan baridi aivumiziki ata ujikunje mikono ushikilie kule bado unafika tuNiko singo sababu sijui kupenda yan nishaulazimisha moyo sana lkn nilishashindwa kupenda ko naonja onja tu inapobidi na baridi hii ya Mwanza leo sijui....
Nipo nasubiri PM yako hapa mkuu singo plus singo equal to hot singoTutafutane mkuu tumalizehii baridi aiseee tulio single tukisaidiana kwa leo tu sio mbaya[emoji39][emoji39][emoji39] maan baridi aivumiziki ata ujikunje mikono ushikilie kule bado unafika tu
Unakaribia kurogwa ni Jambo la muda tu.. ila nakusubiria pia uje unidange kabla hujarogwa so fanya chap kidogo..ππNot single not taken. Nipo tu kuonja onja wapenzi wa watu wengine, nikionja nikinogewa naweka makazi ya muda π
Subiri yatakukuta tu Labda sio hii dunia ya vilamba mwiko nayoijua mimi..Hivi inakuwaje hadi mtu unakuwa single[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
Sijawahi elewa hii.
NitarudiiiHivi inakuwaje hadi mtu unakuwa single[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
Sijawahi elewa hii.