Tulio single tujuane

Tulio single tujuane

Maisha ya single mazuri Sana

1.unakuwa free kwenda sehm yeyote mda utakao na unarud mda utakao bila bugudha!
2,, simu za uko wapi ? Unafanya Nini ? Kwako hazipo
3,, mizinga kwako haipo, wazee wa hit and run wananielewa
4,,, n.k ! ..

Note !!! Kuwa na mpz ANAEJIELEWA unaenjoy Sana !!
 
Niko single kwa kuwa siko romantic. Yani mkorofi tu wala sina sababu ya ukorofi. Nina miezi kadhaa sasa, afu kutongoza siwezi kabisa. Maana nashindwa kaa naye hata mwezi. Ila kimasihara inaniokoa sana sijui ningekimbilia wapi.
Duh[emoji848][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kwa kweli itabidi na mimi nifanye hvo maan ukisubiri wako inachukua muda tutakufa na upweke bora kujichnganya tu

Naona uhalisia wa mambo taratibu unaanza sink in
 
Niko singo sababu sijui kupenda yan nishaulazimisha moyo sana lkn nilishashindwa kupenda ko naonja onja tu inapobidi na baridi hii ya Mwanza leo sijui....
Tutafutane mkuu tumalizehii baridi aiseee tulio single tukisaidiana kwa leo tu sio mbaya[emoji39][emoji39][emoji39] maan baridi aivumiziki ata ujikunje mikono ushikilie kule bado unafika tu
 
Back
Top Bottom