Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Naacha je kua single jiraniii...na vitoto vizuri vinaongezeka kila leo mtaaniMiss u jiran[emoji12][emoji12]kumbe na wewe uko single
Hii statement imenichekesha sana.Loneliness sucks! Sasa kama huku kwetu leo jua halijawaka kabisa imagine hiyo baridi yake eti huko single, huko tu hapo umekikaliza kumsubiri Mr right. Utachelewa dada πππ
We tafuta mahusiano yaliolegea legea ujichomeke.
Jiandae kupangua hoja za hawa manguli wa kuhojiiMWANAUME kuwa single ni maamuzi. Ila MWANAMKE kuwa single ni kukosa soko.
Imeisha hiyo[emoji3]
Tuanze na wewe uwe mfano then tulete mrejesho wa comment yako
Huyo wa kwanza nammudu. Huyo wa kati namuogopa. Huyo wa mwisho shida yake hakawii kurusha mawe.Jiandae kupangua hoja za hawa manguli wa kuhojii
cariha
Wangari Maathai
Rebeca 83
Halaafu ulitakiwa hii comment iwe uzi wakujitegemea
Am sorry nimeshidwa vumilia aisee dah
Mzee baba siko single ... Nimeoa!mada hii hainifit!Jiandae kupangua hoja za hawa manguli wa kuhojii
cariha
Wangari Maathai
Rebeca 83
Halaafu ulitakiwa hii comment iwe uzi wakujitegemea
thats me[emoji41]..vp naonewa auAm sorry nimeshidwa vumilia aisee dah
.......[emoji5][emoji5]
Kosa halitengenezi kosa bana[emoji11][emoji6][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]Hapana hapan nisha apa suwezi rudia makosa nyie watu nyie[emoji847][emoji847]
Me mwenyewe naktaaa kwa hyo na mimi nimekosaa soko[emoji849]Jiandae kupangua hoja za hawa manguli wa kuhojii
cariha
Wangari Maathai
Rebeca 83
Halaafu ulitakiwa hii comment iwe uzi wakujitegemea