kasulavenance
JF-Expert Member
- Jan 23, 2020
- 759
- 914
Watu single tatizo sio sura ni tabia na kutojiamini kwisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona ndugu yako niko single;na hufanyi jitihada yeyote yet una mashosti kibao [emoji848][emoji848]
Heh!wala huyo sio wewe single ladies wanaogopaga kuweka picha zao[emoji23]Ndio mimi niambie tatizo ni nini
😀😀😀Watu design hii wanahifadhi hela kwenye upindo wa kaptura landani..wabahiliiiiiithats me[emoji41]..vp naonewa au
Nilitaka kujua ukweli zaidi kumbe uko single kweli..Aiseeee niwe single alafu niogope kuweka pic namuogopa nan sasa kwa mfano
wenye macho matatu tushakuelewaHabarin zenu..? leo tujuane tulio single na kwa nin tuko single [emoji174]
mwenzenu niko single kwa sababu bado sijampta aliye ubavu wangu naangaika na mibavu ya watu mwshowe naumizwa tuView attachment 1561737
WeeeMbona ndugu yako niko single;na hufanyi jitihada yeyote yet una mashosti kibao [emoji848][emoji848]
Leo vitanda ni vitaomba poo kwa wanandoa. Si kwa hii baridi ya leo 😆Naomba niwe hapo kwako kwa muda huu
Na hii arusha ilivyochafukwa na baridi ni hatari 😘
Linahbaby, mwanaume unayemtaka awe husband unataka awe na sifa zipi?Habarin zenu..? leo tujuane tulio single na kwa nin tuko single [emoji174]
mwenzenu niko single kwa sababu bado sijampta aliye ubavu wangu naangaika na mibavu ya watu mwshowe naumizwa tuView attachment 1561737