Nachekabna yangu mie hahaahhaha nais mzimu unatuandama aise sio bure haijawai tokea tangu kipindi hico, ilo lieleweke lazma mkuu wa mkoa na watumishi wote wa mkoa waje waseme, nini kinaendelea huko, ili halikubarikiMnafuata nyayo za mkuu wenu wa mkoa ( bashite)
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Wee hujiulizi toka mkuu wa mkoa awe bashite shule za dar zinafanya vbaya sana si o-level si advanceNachekabna yangu mie hahaahhaha nais mzimu unatuandama aise sio bure haijawai tokea tangu kipindi hico, ilo lieleweke lazma mkuu wa mkoa na watumishi wote wa mkoa waje waseme, nini kinaendelea huko, ili halikubariki
Post sent using JamiiForums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] itashangaza sana mkoa/shule kufanya vizuri wakati wanaongozwa na mtu mwenye zero.Mnafuata nyayo za mkuu wenu wa mkoa ( bashite)
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Si ndio hapo sasa[emoji3] [emoji3] [emoji3] itashangaza sana mkoa/shule kufanya vizuri wakati wanaongozwa na mtu mwenye zero.
brain is the beautiful part of the body.
Watulie tu KIBITI/PWANI ing'aree!Si ndio hapo sasa
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
kulia pekee hakusaidii nendeni mkachangie shule yenu ili iajiri walimu bora pamoja na kuhakikisha kuwa vitabu vinapatikana hapo shuleni. Undeni pia na kamati ya kufuatilia maendeleo ya watoto ili msizidi kuaibika.Hiii ni aibu kwa mara ya pili azania inavuta mkia, hakika si jambo jema ni jambo la kuumiza hasa sisi tuliosoma pale na kuondoka na one zetu kali!
Hiv mzimu gani anawaandama vijana wanao kwenda kusoma pale?
Enzi zetu,haikuwa hivyo,jamn kma ulisoma azaboy ungana na mimi ktika kilio hiki maana si cha kawaida.
Jaman tena tumekuwa wa mwsho tena kitaifa?wapi tuliopita pale ebu km inawezekana tukutane pale tujadiri.
Post sent using JamiiForums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] aiseeh hili jibu lako mkuu!Azania usome wewe enzi hizo, aibu upate leo kwa kufeli wengine.
Kweli unastahili kuona aibu.
Sent from my Kimulimuli
Unaingiza utani kwenye mambo yasiyohitaji utani.Wee hujiulizi toka mkuu wa mkoa awe bashite shule za dar zinafanya vbaya sana si o-level si advance
Juzi kati aliwaweka kitimoto maafisa elimu akawapa vitisho vyake lakini bado mambo ovyo tu
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Hadi aache U-RCWee hujiulizi toka mkuu wa mkoa awe bashite shule za dar zinafanya vbaya sana si o-level si advance
Juzi kati aliwaweka kitimoto maafisa elimu akawapa vitisho vyake lakini bado mambo ovyo tu
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Hayo ni maoni yanguUnaingiza utani kwenye mambo yasiyohitaji utani.
Sasa hilo libashite ndo limewafanyia mitihani? Au limewafundisha darasa
Nothing is easier than blaming others for your own problems