TULIO SOMA AZA BOY, shame on us again!!!!!

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Hiii ni aibu kwa mara ya pili azania inavuta mkia, hakika si jambo jema ni jambo la kuumiza hasa sisi tuliosoma pale na kuondoka na one zetu kali!

Hiv mzimu gani anawaandama vijana wanao kwenda kusoma pale?

Enzi zetu,haikuwa hivyo,jamn kma ulisoma azaboy ungana na mimi ktika kilio hiki maana si cha kawaida.

Jaman tena tumekuwa wa mwsho tena kitaifa?wapi tuliopita pale ebu km inawezekana tukutane pale tujadiri.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mnafuata nyayo za mkuu wenu wa mkoa ( bashite)

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Nachekabna yangu mie hahaahhaha nais mzimu unatuandama aise sio bure haijawai tokea tangu kipindi hico, ilo lieleweke lazma mkuu wa mkoa na watumishi wote wa mkoa waje waseme, nini kinaendelea huko, ili halikubariki

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mimi nadhani vijana wa mjini siku hizi hawajitambui..wako bize na mambo mengine kuliko masomo yao.
Shule kama Azania sio rahisi kukosa waalimu, na pia mjini fursa za kusoma tuition ni nyingi. Mimi siamini kama mwanafunzi anajua anachofanya shuleni anaweza kufeli, labda kama ana tatizo la kiafya.
Tatizo linalowakabili watoto wa siku hizi ni wingi wa fursa za kusoma, sisi miaka ile kusoma Azania, Tambaza, Jangwani, Zanaki, Kisutu, Kibasila, na Forodhani ilikuwa sifa mtaani, na tulipoingia shule tulikuwa serious.

Enzi zetu Azania ilikuwa haiwezekani mwanafunzi kupata division zero, tulitambua tulichokuwa tunafanya, labda kwa kuwa tulikuwa tunasoma tukiwa wakubwa kidogo kuliko sasa ambapo wanasoma sekondari wakiwa na miaka 12 na kumaliza sekondari wakiwa na miaka 16 au 18.

Vv
 
Nachekabna yangu mie hahaahhaha nais mzimu unatuandama aise sio bure haijawai tokea tangu kipindi hico, ilo lieleweke lazma mkuu wa mkoa na watumishi wote wa mkoa waje waseme, nini kinaendelea huko, ili halikubariki

Post sent using JamiiForums mobile app
Wee hujiulizi toka mkuu wa mkoa awe bashite shule za dar zinafanya vbaya sana si o-level si advance

Juzi kati aliwaweka kitimoto maafisa elimu akawapa vitisho vyake lakini bado mambo ovyo tu

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
Aisee shule za siku hizi walimu hakuna kitu kabisa. Ndiyo wanafunzi wana part yao, ila waalimu wana part kubwa zaidi kuhakikisha ufaulu wa watoto.
 
Hainiusu lakini sija jinsi. Sisi wavulana kutokea Tabora (aka Kichwa Cha Tanzania) tunaendela kuwasomesha number, japo nikili game imekuwa tough sana hasa kwa sababu ya hawa watoto wa spoon feeding.
 
Tatizo BASHITE kuwa mkuu wa kaya

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wale wanaendekeza mambo ya kijinga kama ubitozi na uhuni wa wanawake.
Mwanaume lazima ukomae hata kama utatoka na div III kwa pcm,pcb au kombi yoyote ya sayansi ni afadhali sana kuliko kutoka na div four au zero

Nothing is easier than blaming others for your own problems
 
Hiii ni aibu kwa mara ya pili azania inavuta mkia, hakika si jambo jema ni jambo la kuumiza hasa sisi tuliosoma pale na kuondoka na one zetu kali!

Hiv mzimu gani anawaandama vijana wanao kwenda kusoma pale?

Enzi zetu,haikuwa hivyo,jamn kma ulisoma azaboy ungana na mimi ktika kilio hiki maana si cha kawaida.

Jaman tena tumekuwa wa mwsho tena kitaifa?wapi tuliopita pale ebu km inawezekana tukutane pale tujadiri.

Post sent using JamiiForums mobile app
kulia pekee hakusaidii nendeni mkachangie shule yenu ili iajiri walimu bora pamoja na kuhakikisha kuwa vitabu vinapatikana hapo shuleni. Undeni pia na kamati ya kufuatilia maendeleo ya watoto ili msizidi kuaibika.
 
Azania usome wewe enzi hizo, aibu upate leo kwa kufeli wengine.

Kweli unastahili kuona aibu.

Sent from my Kimulimuli
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] aiseeh hili jibu lako mkuu!

brain is the beautiful part of the body.
 
Wee hujiulizi toka mkuu wa mkoa awe bashite shule za dar zinafanya vbaya sana si o-level si advance

Juzi kati aliwaweka kitimoto maafisa elimu akawapa vitisho vyake lakini bado mambo ovyo tu

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Unaingiza utani kwenye mambo yasiyohitaji utani.
Sasa hilo libashite ndo limewafanyia mitihani? Au limewafundisha darasa

Nothing is easier than blaming others for your own problems
 
Azania ni mwakilishi mzuri wa Bashite hongera hongera aza boy

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wee hujiulizi toka mkuu wa mkoa awe bashite shule za dar zinafanya vbaya sana si o-level si advance

Juzi kati aliwaweka kitimoto maafisa elimu akawapa vitisho vyake lakini bado mambo ovyo tu

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Hadi aache U-RC

brain is the beautiful part of the body.
 
Unaingiza utani kwenye mambo yasiyohitaji utani.
Sasa hilo libashite ndo limewafanyia mitihani? Au limewafundisha darasa

Nothing is easier than blaming others for your own problems
Hayo ni maoni yangu

Weka maoni yako tambaa mbele

Bashite anakuuma sana kisa nimemtaja

Back
Top Bottom