Tulio tolewa jukwaa la wakubwa bila kujulishwa tukutane hapa.

cheetah255

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2017
Posts
1,376
Reaction score
2,393
Hivi kwanini modes mnapenda kunyanyasa watu.Nimeangaika kutuma maombi ya kupata leseni ya kuingia jlw kwa tabu.Nimeendika barua kama naomba kazi,chaajabu nimefika huko sijatimiza hata mwaka mmenitoa bila notice yoyote.Hebu toeni maelezo haraka kabla mwenyekiti wa jkl castr na wajumbe wa kamati ya nidhamu hawajanipa adhabu ya kukosa vikao vitatu mfululizo.
 
Sisi ambao tuko kwenye safari ya kwenda mbinguni tukoment wapi?
 
Write your reply...sisi wengine tumelilia kuungwa hatujaungwa @mods ni butt hole
 
Jukwaa limerudi kwa kasi ya ajabu shukrani modes kwa kufanyia kazi siku nyingine muwe mnatoa taarifa kabla ya kufanya mabadilko.
 
Huyo modes atuunge na sisi wapya basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi toka Nijiunge JF Hadi Leo katika Hali ya kawaida sijahitimu tuu kuwekwa Jukwaa Hilo pendwa?
Moderator
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…