cheetah255
JF-Expert Member
- Oct 19, 2017
- 1,376
- 2,393
Hivi kwanini modes mnapenda kunyanyasa watu.Nimeangaika kutuma maombi ya kupata leseni ya kuingia jlw kwa tabu.Nimeendika barua kama naomba kazi,chaajabu nimefika huko sijatimiza hata mwaka mmenitoa bila notice yoyote.Hebu toeni maelezo haraka kabla mwenyekiti wa jkl castr na wajumbe wa kamati ya nidhamu hawajanipa adhabu ya kukosa vikao vitatu mfululizo.