NimechekaAiseee nimeshafika kileleni mara nyingi Sana, Ukitaka kufika Lazima Uwe na ujasiri, mawazo yako yatulie hata Kama unadaiwa kodi ya Nyumba!!
Mimi sijawahi kufika kileleni sababu sijawahi kuusogelea mlima wowote
Milima mirefu mfano mlima kilimanjaro. Mingine imenyooka haipandiki. Wacha niangalie kwenye picha tu.Nini kinakuzuia kusogelea milima?
Milima mirefu mfano mlima kilimanjaro. Mingine imenyooka haipandiki. Wacha niangalie kwenye picha tu.
Wanaoipanda wacha wafike tu kwenye vilele
Sawa nitajaribu.Basi jaribu milima mifupi ili nawe uwe na cha kusimulia kuhusu kufika kileleni.
Sawa nitajaribu.
Vipi wewe ulishafika kileleni?
[emoji23][emoji23][emoji23]nice.Hahahahahahaha lol! Sikutaka kupitwa na hili. Milima mirefu na mifupi pia nimeipanda hadi kileleni πππ
[emoji23][emoji23][emoji23]nice.
Itabid nikutafute labda utanishika mkono kunipandisha. Maana una experience ya milima yote
Yan BAK nacheka kama chizi.LOL! Hunitakii mema weye! Uje na note iliyosainiwa na Mr Van kwamba nina RUKHSA yake ya kukushika mkono hadi nawe ufike kileleni. Ukija na hiyo note basi tutaianza hiyo safari ya kwenda kileleni pamoja huku nimekushika mkono πππ
Yan BAK nacheka kama chizi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja niandae note ya faza house hapa hili tuelekee kileleni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hunishindi mimi. Haya mwambie faza house hakuna madhara na asichelewe kumwaga wino LOL!