Tulio wahi kufika kilele cha mlima tukutane hapa!

Tulio wahi kufika kilele cha mlima tukutane hapa!

Josey j

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2017
Posts
466
Reaction score
908
Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu,
Katika kuzungukia hazina za mwenyezi mungu na Kwa utafiti niliofanya nimegundua wanawake na wanaume wengi hawajawahi kufika kileleni kwa sababu mbali mbali ikiwemo
- unene uliopitiliza
- lishe duni na nyinginezo unazofahamu wewe

Kwakweli kufika kileleni raha sana asikuambie mtu,

+ Dalili zitakazo kutambulisha kua umefika kileleni ni hizi zifuatazo

1. Ukifika kileleni kama umevaa sketi au shati utaona kama linapeperuka hivi
2. Ukiangalia chini ulikotoka , kama kuna nyumba utaona kama vijiwe vidogo dogo na Miti mikubwa vivyo hivyo
3. Utaona hali ya hewa inabadilika na kua na baridi tofauti na ulikotoka
4, kama ni muoga utahisi kizungu zungu . [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]
 
Safi kilele gani unamaanisha cha nyama pendwa au k/njaro..??
jibu tuendelee
 
Nini kinakuzuia kusogelea milima?
Milima mirefu mfano mlima kilimanjaro. Mingine imenyooka haipandiki. Wacha niangalie kwenye picha tu.
Wanaoipanda wacha wafike tu kwenye vilele
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Basi jaribu milima mifupi ili nawe uwe na cha kusimulia kuhusu kufika kileleni.

Milima mirefu mfano mlima kilimanjaro. Mingine imenyooka haipandiki. Wacha niangalie kwenye picha tu.
Wanaoipanda wacha wafike tu kwenye vilele
 
Hahahahahahaha lol! Sikutaka kupitwa na hili. Milima mirefu na mifupi pia nimeipanda hadi kileleni 🙂🙂🙂
[emoji23][emoji23][emoji23]nice.
Itabid nikutafute labda utanishika mkono kunipandisha. Maana una experience ya milima yote
 
LOL! Hunitakii mema weye! Uje na note iliyosainiwa na Mr Van kwamba nina RUKHSA yake ya kukushika mkono hadi nawe ufike kileleni. Ukija na hiyo note basi tutaianza hiyo safari ya kwenda kileleni pamoja huku nimekushika mkono 😛😛😛

[emoji23][emoji23][emoji23]nice.
Itabid nikutafute labda utanishika mkono kunipandisha. Maana una experience ya milima yote
 
Kuna wengine wakifika kileleni hutetemeka kama gari linaloishiwa na mafuta. Na wengine utadhani wanapandisha mashetani na kuanza kuvuta nywele zao, macho hunitoka wigi lake likimtoka.😀
 
LOL! Hunitakii mema weye! Uje na note iliyosainiwa na Mr Van kwamba nina RUKHSA yake ya kukushika mkono hadi nawe ufike kileleni. Ukija na hiyo note basi tutaianza hiyo safari ya kwenda kileleni pamoja huku nimekushika mkono 😛😛😛
Yan BAK nacheka kama chizi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja niandae note ya faza house hapa hili tuelekee kileleni
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hunishindi mimi. Haya mwambie faza house hakuna madhara na asichelewe kumwaga wino LOL!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa.
 
Nasikia wanawake weng hawafikagi kilelen, hivi ni kwanini?
 
Back
Top Bottom