Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijui upo unateseka na upweke sehemu gani tukufuate[emoji1787][emoji28]
Hiyo aveta yako, HEBU NJOO PM tuya jengeVitu hutumii?
Naomba kiongozi wenu anione mara moja, nimpe hela awaletee kreti la mirinda nyeusi...
Hizo zitaleta nyuki. Hiyo hela inatosha mzinga wa Kvant na club soda.Naomba kiongozi wenu anione mara moja, nimpe hela awaletee kreti la mirinda nyeusi...
Usichanganywe na avatar mkuu wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa ground vitu ni different kabisaHiyo aveta yako, HEBU NJOO PM tuya jenge
Upo na mtu unakuwaje mpwekeUnaweza kuwa na mtu na ukawa mpweke kuliko alie single
Unajidanganya aisee binadamu ukamilifu wetu unakamilishwa na second personAshukuliwe aliyebuni hii kitu inaitwa movie/ series.
Mimi nina miaka sijui maana ya upweke. Naanzaje kuwa mpweke wakati movie zipo? Labda umeme ukatike.
na anguko letu linakamilishwa na second person pia.Unajidanganya aisee binadamu ukamilifu wetu unakamilishwa na second person
Time will tell
very true!!na anguko letu linakamilishwa na second person pia.
huna hatiana anguko letu linakamilishwa na second person pia.