Tulio wapweke Pasaka hii tujuane

Tulio wapweke Pasaka hii tujuane

Duuuuh, au utuletee mihongo ya kutafuna ili tupige chaputa😁😁🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo mnahitaji mihogo, karanga na nazi mtafune! Mngesema mapema sasa wale kina shangazi wanauza washalala sahivi.... itabidi mlalie mikono sawa ndugu zangu?!
 
Kuna watu walitaka kupigana pale ununio beach kisa njia.
Akatokea mjeda.
JAMAA akamkazia mjeda kumbe jamaa NI mwanasheria ikabidi nikae mbali
 
Nipo
FB_IMG_1617567665162.jpg
 
Ashukuliwe aliyebuni hii kitu inaitwa movie/ series.
Mimi nina miaka sijui maana ya upweke. Naanzaje kuwa mpweke wakati movie zipo? Labda umeme ukatike.
Ila nimegundua ni kipaji

Nimejitahidi nimeshindwa
 
Kinacho nishangaza JF kuna watu wana Avatar za kuvutia yaani unajua kabisa hii pisi kali.
Lakini inakukazia
Inshort pisi za JF hazina huruma
 
Siku ya leo ilikua ndefu sana mpaka nlipokutana na series moja kali sana inaitwa Tehran....thank you so much kodi, bila ww leo sijui ingekuaje...Happy Easters guys.
 
Back
Top Bottom