Magonjwa yanayoangukia kwenye 'haemorrhagic fever" huwa siyo ya kupuuza, labda tu huko ambako watu hujifungua mawe.
"Huko hata ule mwingine kutokea pande za Wuhan, uliwahi kuitwa kaupepo."
Kwenye haemorrhagic fever kama iliyotupiga, siku 21 zinazobeba matumaini ya kuondokana na magonjwa hayo, huwa ni zaidi wa wimbo wa taifa. Hadi watoto wadogo macho huwa kwenye tarehe zenye kubeba siku za matumaini.
Ama kweli ni Tanzania tu ambako sehemu ya nchi imepigwa na gonjwa baya hili, hakuna mrejesho, watu kutoka juu hadi chini meno nje wanakenua na hakuna mrejesho wowote.
Hii ni North Korea style ambako hata majina ya watu yanaweza kuwa nyara za serikali.
Uko wapi mrejesho kutokea Maruku na Kanyangereko?
Au hata kwetu mrejesho nao ni nyara za serikali?