Tulioamka tumejilaza vitandani tujuane

Tulioamka tumejilaza vitandani tujuane

Nipo macho kuanzia saa 10 alfajiri usingizi umekata tu[emoji1316]
 
Jichange uhamie kwenye ka single self kususu ni humo humo ndani.
Kwamba we ukilala ndani husikii mvua za nje? Ndicho kilichotokea, na si kama nilitoka nje kabisa nikakutana na mvua
 
nipo hapa kwa shemeji natoka kitandani naenda kulala kwenye sofa
 
Back
Top Bottom